Mafanikio ya katiba mpya Kenya tunayahitaji mno Tanzania

Mafanikio ya katiba mpya Kenya tunayahitaji mno Tanzania

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Sote ni mashuhuda wa jinsi katiba yetu ya sasa, ambayo ina madhaifu mengi sana, inavyosiginwa with impunity na serekali ya CCM kupitia viongozi wake.

Sote ni mashuhuda wa jinsi ambavyo kwa miaka nenda rudi kuanzia kwenye hatua ya kampeni hadi matokeo ya chaguzi zetu mbalimbali vinakuwa manipulated kwa sababu ya kukosekana kwa level playing field ambapo ni katiba pekee inayoweza kui-enforce.

Sote ni mashuhuda wa jinsi ambavyo kutokana na katiba yetu ya sasa kuwa dhaifu, mihimili yetu 2 (bunge na mahakama) inavyokuwa compromised na executive. Bosi wa mhimili mmojawapo amekaimishwa tu nafasi yake hadi hapo executive itakapokamilisha ajenda yake inayoijua yenyewe wakati yule wa mhimili mwingine anapokea amri kutoka executive - gharama ni ukandamizwaji wa haki za wananchi ambao wawakilishi wao bungeni wamejikuta upande wa pili wa executive na organs zake na hivyo kushindwa kuwawakilisha ipasavyo kwenye chombo hiki muhimu.

Nimetoa hiyo mifano michache tu ya athari kati ya adha lukuki tunazoendelea kuzipata kwa kutokuwa na katiba imara, katiba ambayo executive imetamka wazi kuwa si kipaumbele chake!

Ni lazima tukiri, wivu uwekwe pembeni, kuwa kwa kiasi kikubwa wenzetu Kenya chini ya katiba mpya wamepiga hatua kubwa sana kwenye maeneo mbalimbali. Ushuhuda ni jisni kampeni za uchaguzi zinavyoendeshwa. Mhimili wa mahakama umekuwa ukitoa maamuzi ya haki dhidi ya electoral commission hadi kupelekea Rais Uhuru kulalamika eti mhimili huo unapendelea upinzani! Sote tunajua tafsiri ya "upendeleo" ambayo executive wanaimaanisha si ile ambayo mimi na wewe tunaijua.

Pitia hapa chini andiko hili linaloelezea jinsi katiba mpya Kenya ilivyowawezasha Wakenya kuya-address masuala yao kadhaa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Pengine miongoni mwa mafanikio makubwa ni kupungua (almost kuondolewa kabisa) kwa tatizo sugu la ukabila nchini humo. Soma concluding remark chini kabisa ya andiko nimeli-highlight na rangi nyekundu.

Na sisi tutamani siku ifike tuje tuondokane na makabila yetu makubwa mawili ambayo yametutesa kwa miaka nenda rudi - kabila la CCM upande mmoja na la WANANCHI upande wa pili - ili tuwe na Tanzania ambayo kila mmoja ana haki sawa.


Kenya’s 2017 elections will be like none before. Here’s why.

By Nanjala Nyabola
July 10, 2017

Devolution has demystified local power and emboldened voters to assert themselves, leading to shocks all the way up the political pyramid.

Kenya’s 2017 elections are set to be the country’s most interesting yet. The political landscape has shifted, and whatever else these elections turn out to be – violent, peaceful, confusing − they are going to a different kettle of fish to previous polls.

The most obvious reason for this is devolution. After the 2010 constitution was passed, Kenya restructured its political and legislative units, breaking 8 massive provinces into 47 counties made up of various wards. The national legislature was broken into two branches, establishing the roles of senator and governor. And the position of women’s representatives was created in each county to help achieve the new constitution’s gender quotas.

These changes also affected how elections work. In 2007, Kenyans voted at three levels: for a councillor, a member of parliament (MP), and a president. On 8 August 2017, the electorate will vote at six: a member of the county assembly (MCA), a women’s representative, an MP, a senator, a governor, and a president.

This was also the case in 2013, but since then, it has become much clearer how the different levels of government operate in relation to one another. This means that some positions have become far more attractive and therefore competitive. And this increased contestation at the local level has undermined some of the typical tropes of Kenyan politics such as tribalism and regionalism. Things have changed.

Kenya’s political pyramid
One can think of Kenya’s system of political operatives as operating in a pyramid formation. At the bottom are local elders. One step up are county assembly members, followed by members of parliament, senators, and county governors. Above them are the ethnic kingpins. These are powerful individuals that come together to at the highest level to form national political alliances or coalitions that then contest the elections. In the case of 2017, we have President Uhuru Kenyatta and Deputy President William Ruto on one side as the incumbents, with Raila Odinga, Kalonzo Musyoka and others on the opposing side.

Typically, the role of local elders at the bottom rung has been to marshal voters to back the right kingpin at the top. Much of campaign spending goes towards cementing this local loyalty. Although politicians themselves sometimes hand out cash at rallies, the really important network has been low-level leaders giving out goodies in less intense environments. It’s the chief calling a village meeting and distributing bags of maize flour, or the women’s group leader dishing out t-shirts at the chama meeting.

In prior elections, knowing which way local leaders were leaning gave a good indication of how the overall vote in a specific region would go. For politicians, spending enough money on these low-level actors could usually guarantee a positive return at the ballot box.

Dismantling the pyramid
Not anymore it seems. Devolution has made local politics much more intimately connected with voters’ day-to-day lives. Power has become demystified, and this has inspired more people to challenge local leadership when it has been deemed to fail. A record 14,525 candidates are running for office in 2017, and low-level chiefs and elders can no longer guarantee voters’ support for a particular party through the traditional means.

In 2013, it was enough for a candidate who wanted to be elected to buy a nomination certificate from their party and then hand out money at a rally, safe in the knowledge that their “person on the ground” would distribute campaign goodies to people to secure their votes. But with a more discerning electorate who, through devolution, more closely see how local power works, or doesn’t, these tactics are no longer as effective.

This can also be seen in the way Kenyan voters have been rejecting the notion of “six-piece voting”. This was a strategy employed by national politicians in 2013 whereby they encouraged supporters to vote for the same party across all six levels of government. This was most beneficial to those candidates in the middle levels of the pyramid. Rather than establishing independent political identities, candidates for MCAs, MPs and senators could just provide money downwards to foster low-level loyalty for the party, while trading off the popularity of the national-level politicians above them.

When Odinga and Kenyatta have proposed six-piece voting in 2017, however, they have been heckled and booed at their own rallies. People don’t want to just vote blindly for the same party in all the boxes; they want more say in what happens at the various levels.

We saw these new dynamics play out in the party primaries this April. Despite significant attempts at mobilisation, voters rejected incumbent MCAs, MPs and even governors who they believe have failed to deliver. Several key allies of national politicians failed to win their party’s nomination.

Many of these figures are now running instead as independents, meaning that many ethnic groups have two or more powerful figures contesting key constituencies. This divides these ethnic kingdoms and presents a dilemma for political parties. On one hand, they need to appease loyalists by putting the force of the party behind each of their candidates; on the other, they need to court voters that support those popular independents that have left the party.

To date, leaders have responded to this conundrum by inviting some independent hopefuls to participate in party events, but this has led to public, and sometimes violent, clashes between supporters of the different candidates.

A new politics?
In 2017, voters are not just rejecting six-piece voting and exercising their judgements over local candidates beyond party loyalty. They are also being vocal and visible about it.

This is the first time in recent memory that we’re seeing national political figures appear uncertain before their own supporters during their own rallies. The sight of Kenyatta, a sitting president, being heckled – not once, but fairly consistently during the election period − is novel. That people at a Odinga rally would shout anything that wasn’t a synonym for ndio baba (“yes father”) is unprecedented.

Of course, more things have changed in Kenyan politics since 2013 than those examined here. But these changes, amongst others, have thrown a significant measure of unpredictability into the landscape. Political punditry in Kenya has always been fixated on the ethnic question, but this time around, it’s not going to be that simple. Ethnic loyalty is still important, but it is no longer absolute. Voters have changed, politicians are adapting, and everything is getting a lot more…interesting.
 
mkishajitambua kuwa nyie ndio wenye nchi mtapata katiba ya wananchi,saivi bado hamuelewi katiba ni nini wala hamjui nchi mwenyewe ni nani,mnadhani chama tawala ndio kinamiliki nchi kwa hio mnahisi muakaombe na kunasihi ile waridhie kukubali kuleta katiba ya wananchi.

katiba ni makubaliano baina ya wananchi na viongozi wa nchi,kuwa tunaempa madaraka na nguvu za nchi aendeshe kwa misingi hii tuliyokubaliana bila ya kuleta ubinafsi wa mtu mmoja mmoja.

huku kwetu tuna msemo unasema: aliyelala usimwamshe,ukimwamsha utalala wewe

watz mmelala tena usingizi wa pono hamjifahamu kabisa, watawala hawawezi kuridhia muamke kwa sababu mkiamka watalala wao
 
mkishajitambua kuwa nyie ndio wenye nchi mtapata katiba ya wananchi,saivi bado hamuelewi katiba ni nini wala hamjui nchi mwenyewe ni nani,mnadhani chama tawala ndio kinamiliki nchi kwa hio mnahisi muakaombe na kunasihi ile waridhie kukubali kuleta katiba ya wananchi.

katika ni makubaliano baina ya wananchi na viongozi wa nchi,kuwa tunaempa madaraka na nguvu za nchi aendeshe kwa misingi hii tuliyokubaliana bila ya kuleta ubinafsi wa mtu mmoja mmoja.

huku kwetu tuna msemo unasema: aliyelala usimwamshe,ukimwamsha utalala wewe

watz mmelala tena usingizi wa pono hamjifahamu kabisa, watawala hawawezi kuridhia muamke kwa sababu mkiamka watalala wao
Mkuu umesema kweli tupu
 
Back
Top Bottom