Imekuwa ni kawaida kuona nchi nyingi duniani zkianzisha shule mbalimbali za kufundisha lugha zao, mf. China, Japan, Russia na Spain. Kiswahil kikiwa moja ya lugha zinazokua duniani, kuna nchi ngapi ambapo kuna shule za kitanzania ambazo zinafundisha kiswahili kama njia ya kuendeleza lugha yetu! Na kama hamna tatizo ni nini? Majibu tafadhali