Mafanikio ya mwanaume!!

Kuna wanawake wengine wana sifa balaa, basi akimsaidia mwanamme mashoga wote mtajua au mtaa mzima kama sio ndugu, hii ndio huwafanya wajisikie vibaya kusaidiwa na wanawake zao. Ila kuna wale wenye busara watafanya yote kwa ushirikiano mzuri sana na waume zao bila kuleta hisia nyingine tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…