Hizi emotional feeling will give us damn bad result,we need to think,hivi baada ya Dangote ni mwekezaji gani alieingia nchini ili kutumia gesi kuleta bidhaa za gesi,inabidi tujiulize ni nani anafaidika na kufungwa midomo kwa wapinzani au washindani wa siasa nchini,inakuaje vikao vya chama vifanyike ikulu,na pia tunaomba kujua kama kweli anapenda demokrasia kwanini anapenda kujiweka mbele kwa kila jambo linalofanyika nchini,ni kweli kuliibuka kelele tunahitaji mtu mfuatiliaji na sio mwenye roho mbaya,
Kuna wakati ilisemekana kuwa uchumi unashuka wakaja watetezi wake wakasema sio kweli lakini Mpango kasema uchumi unakua kwa 6.1 % badala ya 7.7 % na kwa sababu nchi hii watu wengi hawaoni kwa jicho la tatu huo utofauti ilitakiwa serikali iwajibike,sasa mtu anatupigia kelele uchumi unakua kumbe kazi yake ni kupeleka takwimu fake tume ya maadili ilihali anapima ni kiasi gani ameathili watu.
Hebu tuwe wawazi ni nani mwenye hekima anamsifu mkubwa huyu kama sio vimeo wa Lumumba kizazi kipya wasiojua hasara ya aina ya uongozi wa Magufuli!
Time is a great factor,numbers never lie.