kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Umekaa ki gasho sana hata uandishi wako unatia kichefuchefuNilijarib kufanya utafit Wang binafs, nikagundua jpm anapendwa sana na wananchi japokua watendaji kazi wake wanao msaidia ndo wana mwangushaxna, na kufanya wananchi baadhi kuilaum serkar ya jpm .ww kam maana jforums una maoni gan? Una mkubr au
Sisiemu kama Simba vile, inachukiwa ila inashinda tu.Jisemee mwenyewe wewe ndio unampenda mfyuuuu
Fyuuu! Wewe mwenyewe hapo humpendi, hata makada nao wanagugumia, hao watz ni wepi? Au waishio Rwanda!!?Nilijarib kufanya utafit Wang binafs, nikagundua jpm anapendwa sana na wananchi japokua watendaji kazi wake wanao msaidia ndo wana mwangushaxna, na kufanya wananchi baadhi kuilaum serkar ya jpm .ww kam maana jforums una maoni gan? Una mkubr au
Ndio Nani huyo? JPM, Just Praise Me?Nilijarib kufanya utafit Wang binafs, nikagundua jpm anapendwa sana na wananchi japokua watendaji kazi wake wanao msaidia ndo wana mwangushaxna, na kufanya wananchi baadhi kuilaum serkar ya jpm .ww kam maana jforums una maoni gan? Una mkubr au
Acha kuifananisha simba na vitu vya kijingaSisiemu kama Simba vile, inachukiwa ila inashinda tu.
Simba kama sisiemu, INASHINDA TU. Hata Shunie anajua.Acha kuifananisha simba na vitu vya kijinga
kwa sisi wataalam wa psychology tunajua kuwa kwa kuanzisha tu uzi huu ni ishara tosha kwamba utafiti wako ulibaini jibu tofauti kabisa na.hili ulilo leta hapaNilijarib kufanya utafit Wang binafs, nikagundua jpm anapendwa sana na wananchi japokua watendaji kazi wake wanao msaidia ndo wana mwangushaxna, na kufanya wananchi baadhi kuilaum serkar ya jpm .ww kam maana jforums una maoni gan? Una mkubr au
Jifunze alama za uandishiHabari za jioni hii wanajamvi ,bila kuwachosha nende moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwenye kichwa cha Rais JP Magufuri nikiongozi bora haijawahi kutokea Afrika mashariki. Kwanza - Ni mzalendo kwa nchi yake hii ameionyesha kwa kipindi chake hiki cha miaka miwili ya uongozi wake amefanikiwa kuwadhibiti mafisadi vidaga ,vipapa na minyangumi mikubwa hadi imeomba pooo sasa kilichobaki nikujipendekeza kwake ili waweze kupata angalu huruma take baada ya kujaribu kumtikisa nakugundua hiki ni chuma.Pili ni mvumilivi sanaa nchii hii unaweza ukasimama ukamkashifu rais hadharani ukakamatwa ukaenda ukapelekwa mahakamani ukashinda ukaendelea kudunda mitaani thubuti kufanya hivyo kwa Uganda ,Rwanda au DRC ukiamka salama wewe unabahati hata huko mahakamani hupelekwe hata kipindi cha hiyo mnamsifia kuwa mzuri sana nyerere ulikuwa huwezi kuinua mdomo kumpinga au kumkashifu ukabaki salama kitakachokukuta utaenda kumsilimia babako waulize wazee wa kipindi hicho TAtu- siyo fisadi kumekuwa na kelele nyingi sanaa kuwa aliuza nyumba za serikali lakini haijawahi tokeea hata MTU moja tu kutudhibitishia zaidi ya kelele nyingi zisizo na ushahidi wowote na hii ndo ilimpa turufu kubwa ya kugombea urais na kupata kura za kutosha.NNe- itaendelea kesho .
Uhuru wa kusifia huo upo mwingiii jaribu kuponda uone
Kwa mujibu wa wanasayansi. Jiwe halina ubongo.yeye ni JIWE kweli kweli.
NAWASHANGAA MNAOHANGAIKA KUMUOMBEA.
sijui mmerogwaaa?