Hakuna Mungu wa kweli anayeweza kumbariki. Kashika msahafu na kusema atailinda na kuifuata katiba kisha mwisho akasema "Mungu nisaidie" halafu hata mwezi haujaisha anaivunja hiyo katiba kwa kuzuia shughuli za kiraia na kisiasa zinazoruhusiwa na katiba hiyo hiyo, sasa hivyo si dharau na dhihaka kwa Mungu. Kwanini uape kwa jina la Mungu halafu unafanya kinyume chake. Wenzake anaweka ndani kisa eti gari halafu yeye anakwenda kanisani. Hiyo ni unafiki kama masadukayo na makuhani wa wakati wa Yesu kutaka waonekane watakatifu kumbe ni kinyume chake. Mungu hadhihakiwi!
1. Ambulance zile za bandarini zisizo na mwenyewe... Zimegawiwa... KIMOJA KIPO MAKETE HUKORais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani.
Kiukweli kabisa pasipo kumumunya mim naweza kusema wachache ambao walijivika umungu watu nakuifaidi national cake ndio wanatuvuruga maana walinunua watu na makanisa na misikiti. Sio jambo lakushangaza haya tunayaona sasa ni kaz yakundi dogo lawatu walivuna pasipo jasho ama kupanda. Wao walikula kwa jasho la masikini uku wakitua adaa kwa peremende na karanga.
Kiukweli kabisa wengi hwashangai drama zinachezwa na vyama fulan vya siasa na taasisi za dini. Yote haya yalipangwa na sasa wanatekeleza walichopanga hakuna jipya. End
Ndugu zangu watanzania kama huyu Rais angekuwa sio mwaminifu na mlinda masilahi yawakubwa nikiongoz kweli anaichukia rushwa kweli toka moyoni nawala hatanii. Ni Rais kweli ameapa kuitokomeza rushwa nankweli atafanikiwa. Ni Rais kwel ameapa mbele za Mungu hatokula rushwa wala pokea na Mungu wake kweli amsaidie.
Tunamchukua poa ila kweli hatanii na kweli hana huruma na majizi. Huyu ndio Mh Dr Magufuli ninaye mjuwa.
Wengi tunafikiri serikali yake ina undugu ama masilahi na mtu ila nawaambia hana na kamwe hatokuwa nao.
Muda ni mwalimu mzuri wakati unakuja mtamvisha taji za heshima na wengi mtamtaka arudi kuwa Rais nakujutia dhihaka mnamfanyia.
Mungu hawezi kuacha dhihaka hizi zipite salama wakati unakuja atatujibu kama kweli vile yuna mbrand kiongozi wetu ni swa ama laa.
Shime Rais wangu Magufuli
Nimetype kama page tatu kukujibu nikafutaRais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani.
Kiukweli kabisa pasipo kumumunya mim naweza kusema wachache ambao walijivika umungu watu nakuifaidi national cake ndio wanatuvuruga maana walinunua watu na makanisa na misikiti. Sio jambo lakushangaza haya tunayaona sasa ni kaz yakundi dogo lawatu walivuna pasipo jasho ama kupanda. Wao walikula kwa jasho la masikini uku wakitua adaa kwa peremende na karanga.
Kiukweli kabisa wengi hwashangai drama zinachezwa na vyama fulan vya siasa na taasisi za dini. Yote haya yalipangwa na sasa wanatekeleza walichopanga hakuna jipya. End
Ndugu zangu watanzania kama huyu Rais angekuwa sio mwaminifu na mlinda masilahi yawakubwa nikiongoz kweli anaichukia rushwa kweli toka moyoni nawala hatanii. Ni Rais kweli ameapa kuitokomeza rushwa nankweli atafanikiwa. Ni Rais kwel ameapa mbele za Mungu hatokula rushwa wala pokea na Mungu wake kweli amsaidie.
Tunamchukua poa ila kweli hatanii na kweli hana huruma na majizi. Huyu ndio Mh Dr Magufuli ninaye mjuwa.
Wengi tunafikiri serikali yake ina undugu ama masilahi na mtu ila nawaambia hana na kamwe hatokuwa nao.
Muda ni mwalimu mzuri wakati unakuja mtamvisha taji za heshima na wengi mtamtaka arudi kuwa Rais nakujutia dhihaka mnamfanyia.
Mungu hawezi kuacha dhihaka hizi zipite salama wakati unakuja atatujibu kama kweli vile yuna mbrand kiongozi wetu ni swa ama laa.
Shime Rais wangu Magufuli
Watu 8 kati ya 10 wsnataka kumhoji ila hahojiki
Kwani wewe ni msemaji wa wanaoona hiyo kazi? Si unyamaze kila mtu aendelee kuona kivyake!!!!Rais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani.
Kiukweli kabisa pasipo kumumunya mim naweza kusema wachache ambao walijivika umungu watu nakuifaidi national cake ndio wanatuvuruga maana walinunua watu na makanisa na misikiti. Sio jambo lakushangaza haya tunayaona sasa ni kaz yakundi dogo lawatu walivuna pasipo jasho ama kupanda. Wao walikula kwa jasho la masikini uku wakitua adaa kwa peremende na karanga.
Kiukweli kabisa wengi hwashangai drama zinachezwa na vyama fulan vya siasa na taasisi za dini. Yote haya yalipangwa na sasa wanatekeleza walichopanga hakuna jipya. End
Ndugu zangu watanzania kama huyu Rais angekuwa sio mwaminifu na mlinda masilahi yawakubwa nikiongoz kweli anaichukia rushwa kweli toka moyoni nawala hatanii. Ni Rais kweli ameapa kuitokomeza rushwa nankweli atafanikiwa. Ni Rais kwel ameapa mbele za Mungu hatokula rushwa wala pokea na Mungu wake kweli amsaidie.
Tunamchukua poa ila kweli hatanii na kweli hana huruma na majizi. Huyu ndio Mh Dr Magufuli ninaye mjuwa.
Wengi tunafikiri serikali yake ina undugu ama masilahi na mtu ila nawaambia hana na kamwe hatokuwa nao.
Muda ni mwalimu mzuri wakati unakuja mtamvisha taji za heshima na wengi mtamtaka arudi kuwa Rais nakujutia dhihaka mnamfanyia.
Mungu hawezi kuacha dhihaka hizi zipite salama wakati unakuja atatujibu kama kweli vile yuna mbrand kiongozi wetu ni swa ama laa.
Shime Rais wangu Magufuli
Majinga majinga kama haya hata huko Uganda wakati wa Idd Amin yalikuwapoHahahahahaaaaa.
Nimesoma tu hii aya nimeacha
''Rais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani."
Atahojika tu. Time 'll tell. Hata Samwel Doe alikuwa na ndoto za umilele.Watu 8 kati ya 10 wsnataka kumhoji ila hahojiki
Hizi post za kutafutiana BAN tu. Sasa kama anafanya yote hayo inamaana sie watanzania tumekua vipofu, viziwi na wajinga kiasi cha kushindwa kabisa kuyaona mazuri yote uliyoyaandika?
Kama wote tupo nchi moja, hatuwezi kujidanganya kuhusu hali halisi.
Rais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani.
Kiukweli kabisa pasipo kumumunya mim naweza kusema wachache ambao walijivika umungu watu nakuifaidi national cake ndio wanatuvuruga maana walinunua watu na makanisa na misikiti. Sio jambo lakushangaza haya tunayaona sasa ni kaz yakundi dogo lawatu walivuna pasipo jasho ama kupanda. Wao walikula kwa jasho la masikini uku wakitua adaa kwa peremende na karanga.
Kiukweli kabisa wengi hwashangai drama zinachezwa na vyama fulan vya siasa na taasisi za dini. Yote haya yalipangwa na sasa wanatekeleza walichopanga hakuna jipya. End
Ndugu zangu watanzania kama huyu Rais angekuwa sio mwaminifu na mlinda masilahi yawakubwa nikiongoz kweli anaichukia rushwa kweli toka moyoni nawala hatanii. Ni Rais kweli ameapa kuitokomeza rushwa nankweli atafanikiwa. Ni Rais kwel ameapa mbele za Mungu hatokula rushwa wala pokea na Mungu wake kweli amsaidie.
Tunamchukua poa ila kweli hatanii na kweli hana huruma na majizi. Huyu ndio Mh Dr Magufuli ninaye mjuwa.
Wengi tunafikiri serikali yake ina undugu ama masilahi na mtu ila nawaambia hana na kamwe hatokuwa nao.
Muda ni mwalimu mzuri wakati unakuja mtamvisha taji za heshima na wengi mtamtaka arudi kuwa Rais nakujutia dhihaka mnamfanyia.
Mungu hawezi kuacha dhihaka hizi zipite salama wakati unakuja atatujibu kama kweli vile yuna mbrand kiongozi wetu ni swa ama laa.
Shime Rais wangu Magufuli
Rais wetu Ni Rais mzuri Sana ambaye hayupo ktk kizazi cha sasa na wala hakuna wamfano wake kwa sasa Africa na uwenda hata duniani.
Kiukweli kabisa pasipo kumumunya mim naweza kusema wachache ambao walijivika umungu watu nakuifaidi national cake ndio wanatuvuruga maana walinunua watu na makanisa na misikiti. Sio jambo lakushangaza haya tunayaona sasa ni kaz yakundi dogo lawatu walivuna pasipo jasho ama kupanda. Wao walikula kwa jasho la masikini uku wakitua adaa kwa peremende na karanga.
Kiukweli kabisa wengi hwashangai drama zinachezwa na vyama fulan vya siasa na taasisi za dini. Yote haya yalipangwa na sasa wanatekeleza walichopanga hakuna jipya. End
Ndugu zangu watanzania kama huyu Rais angekuwa sio mwaminifu na mlinda masilahi yawakubwa nikiongoz kweli anaichukia rushwa kweli toka moyoni nawala hatanii. Ni Rais kweli ameapa kuitokomeza rushwa nankweli atafanikiwa. Ni Rais kwel ameapa mbele za Mungu hatokula rushwa wala pokea na Mungu wake kweli amsaidie.
Tunamchukua poa ila kweli hatanii na kweli hana huruma na majizi. Huyu ndio Mh Dr Magufuli ninaye mjuwa.
Wengi tunafikiri serikali yake ina undugu ama masilahi na mtu ila nawaambia hana na kamwe hatokuwa nao.
Muda ni mwalimu mzuri wakati unakuja mtamvisha taji za heshima na wengi mtamtaka arudi kuwa Rais nakujutia dhihaka mnamfanyia.
Mungu hawezi kuacha dhihaka hizi zipite salama wakati unakuja atatujibu kama kweli vile yuna mbrand kiongozi wetu ni swa ama laa.
Shime Rais wangu Magufuli
Amefanya mangapi ndani ya miaka miwili? huna hata soni kuuliza viwanda vingapi leo, wewe ndani ya hii miaka miwili kama wewe umefanya nini?Mchumia tumbo wa lumumba ivi adi asaivi muhutu amekamilisha viwanda vingapi vya kwake zaidi ya kiki za kipumbavu