Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

ni ndoto hii nomeiota mkuu ila ilikiwa katoka mfumo wa tukio hadi mashtuka asubuhi nikaitafakari sana
Nijambo ambalo laweza kufanyika kwa simple logic tu nayo ni hivi.

Mheshimiwa anania njema na nchi hii na anafanya mambo mengi mazuri ikiwa nipamoja na maendeleo..sasa aweza kufanya hivyo ili kupata katiba bora itakayo linda yote mema yaliyofanyika..na kuepusha kurud tulikotoka.
 
Kwa namna yeyote hii ni ndoto mbaya na unapaswa kwenda kwenye maombezi au kisomo si kwa magufuli huyu
 

Kinyume chake ni kweli.
 
Hukuota dalili zozote za unkurunzinza? DAB ameshaanza kupenyeza chinichini kuhusu hii kitu.
 
Hakuna ndoto inayozidi dakika tatu,, ikizidi jua hiyo sio ndoto.... Sasa nikisoma hiyo sijui Ilikuw nusu saa unaota....
 
Dear friend of mine Kimolo wa Kondoa, Ohhh ...! sorry Kkimondoa, is this a dream or a nightmare?

Lakini si ajabu asianze sasa kuibadili katiba ikawa baadae sana atakapokaribia kuondoka madarakani. Japo kaladha ka uauthoritarian kanawaingia sana viongozi wa ki-Afrika, hasa Ukanda huu wa Central and East Africa. For the sake of our peace and harmony, should never power monger-ism be in Tanzania.

ingekuwa ulichowaza kikatokea kweli basi itapendeza.
 
Rudi ukalale uote tena, South, South countries hakuokuja kutokea hayo, hata atawale maraika Gabriel.
 

uliota nafikiri usiku ulikula ugali na mlenda
 
Kwa mujibu wa heading ya thread yako, ni nani aliyekuotesha?
 
Hata Ally nacha aliota - hongera kesho lala mapema ili uote siku yako ya kuoa mke wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…