Tusiwe watu wa kulalamika sana, kwa changamoto kiasi tunazo zipitia katika utawala huu kwani mtawala ni mwanadamu na si malaika.
Heko zangu kwa awamu ya tano ni namna ilivyofanikiwa kubadili fikra za watu wake, watumishi wa serikali na viongozi kwa ujulma. Kila moja kwa sasa anatekeleza kauli mbiu ya hapa kazi tu kwa vitendo, kuna baadhi ya huduma zinaimalika kwa kasi kubwa sana hasa katika sekta ya afya (specifically) though kuna changamoto chache hasa za ukosefu wa watumishi, lakini upatikanaji wa dawa na usambazaji wa dawa kwa wakati umeimalika sana.
Mobilization of resources ni kipawa, but utilization of scarce for better results ni hekima.