Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kuna uzi kuhusu wafanyakazi wa Air Tanzania wanavyoacha mizigo ya abiria Bukoba ili wapandishe Samaki za kwenda Dar. Halafu ni ndege ya asubuhi.. halafu mizigo yao inapelekwa Mwanza jioni na Precision Air.. watalii wakizungu wageni na waliokuwa wanaenda Serengeti walikwama kwa kusubiri mizigo tangu asubuhi..

Nimesechi hata siuoni ulirushwa juzi humu.. aliyeuona ni tag basi..
 
We Siku zako za kuenjoy bongoland zinahesabika tutakurudisha kwenu Rwanda ukapambane na interahamwe
 
Naona mmeanzisha uzi na kuitana nzi wa kijani
 
We Siku zako za kuenjoy bongoland zinahesabika tutakurudisha kwenu Rwanda ukapambane na interahamwe

Nitumie picha za huko mapema kabisa ni paone palivyo..

Na utanipeleka kuishi wapi.. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’€
 
Hii ni awamu yetu Wanyonge, Awamu zile Matajiri walikua wanaweza kufanya chochote, awamu hii matajiri wanaweza kufanywa chochote
 
Mimi xaxa naishi kwa amani kwani mungu ametuletea mtu sahihi nahatimaye naamini atashinda kwani yeyote afanyaye mazuri mungu humuongoza. Kazana baba kwan Taifa letu linakuhitaji

ikiwemo ya [emoji379] [emoji379] [emoji379] lissu[emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
Sisi tuna shida Kama zenu,ntu ya Asia pesa nyingi sana anazo.aunga nkono Rais yetu
 
Ngoja nifikirie hivi wewe tukuteke au tukupe kesi ya kutumia madawa ya kulevya au kesi ya Ufisadi?πŸ˜‰πŸ€£


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Benki ya dunia inaibembeleza Tanzania tukope

Tukope kwani hatuna zetu? Huoni tunajenga SGR kwenda Rwanda kabla hata ya kufika Kigoma au Mwanza?
Achana na hao Benki ya Dunia ni wezi wakubwa hao kuliko wazalendo wengi matajiri tulionao hapa nyumbani, bila kujali wametokea wapi.
 
Swafiiii sana walahi
Lazima utufundishe mbinu zenu za biashara walahi
Sio za kumwibia MAMA TANZANIA walahi
 
Sisi watu toka Asia, hapana puuzie kazi gumu anafania Magufuli,
Ni rais Nzuri sana,
Uchumi umeimarika mara dufu,
Uzalishaji umeongezeka sana,
Benki ya dunia inaibembeleza Tanzania tukope
Unamuunga mkono, anauvunja tena unakufaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali ya jk ilijaa ufisadi sana watu wakasema bora aje mkali ambaye siyo legelege
Sasa huyu kaja kwa style ya kuteka watu na kuwapoteza kabisa lakini bado mnalalamika. Sasa nyinyi mnataka mtu gani? Mbona hamna shukrani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…