Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tatizo kubwa Kuua democrasia,umoja na ustawi wa taifa letu. Mambo ya kibaguzi,ubabe,dhuluma,chuki,visasi,biashara haramu ya binadamu nk.
 
Kutoka watu nako ni kubaya kabisa aisee ingawa vyote si vzuri kuliko kutekana ufisadi unanafuu maana una effects kiuchumi.
 
kiukweli magufuli ni chaguo la Mungu. maana rushwa ilikuwa imefikia pabaya sana.

venezuela ipo america huko ila rushwa na uongozi mbovu umeharibu sana nchi yao..

watu maskiini mpaka zinauzwa nyama zilizooza sokoni

mafisadi wamefisadi shirika lao la umeme hadi linakosa hela kabisa ya kuzalisha umeme.. nchi gizani miezi na miezi.. mortuary miili inatoa funza tu.

hii ni link ya documentary fupi ya venezuela.. iliyofanywa na bbc


Magufuli Mungu akubariki sana na uishi miaka mingi sana..

kina Rugemalira na Singa Singa wanapiga mabilioni ya ujanja ujanja tu,,,,huku wananchi tupo gizani.. na wengine wengi sana..

Venezuela kila kitu ni rushwa.. kama una ndugu yako ukimtumia mzigo.. lazima utume mabox mawili ya vitu vinavyofanana na uandike kabisa moja zawadi ya custom officers ili wasiibe yote.. angalau ndugu yako apate box 1
 
Huu ndio ukweli dalili ya mvua mawingu.ndivyo unavoweza kusema.kwa Sasa Hali ya kisiasa imepinduka kwani kila sehemu taasisi ya urais chini ya Magufuli imeonyesha Nia kwa vitendo.magufuli anazidi kukubalika gari Zima abiria wote tunafurahia style yake ya uongozi, wanakwambia Magufuli ndio Safi anafaa, duniani ni Marais wachache Sana wanaotokea Kama aina ya magufuli.nyie wa jf ambao hamuoni mabadiliko sijui hamna majicho?
 
Chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania imepaa juu sana Kidiplomasia, kiuchumi, Kidemokrasia, katika medani za Kimataifa.

Nchi nyinyi sana utasikia zinamtaja JPM kama Rais bora kuwahi kutoka Afrika, na nchi nyingine zimefikia hatua ya kumuomba angalao akawe Rais katika nchi zao angalao kwa miezi mitatu tu.

Mwandishi na mtangazaji mmoja wa kike kutoka Nigeria (ke), alithibitisha haya.
 
Tujipongeze kwa hilo....soon tutawapiki hata Africa ya kusini kwa demokurasia na utawala wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…