Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hahaha yaani mwaka wa tatu huu raisi badala adeal na matatizo ya tanzania ye kila siku anataka watu waishi kama mashetani

Raisi kajifungia ndani alafu anataka wawekezaji waje na hela za knigeni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

2015 mlifanya mistake
 
Serikali ya Magufuli kwa Sasa imejitahidi kuziunganisha taasisi zote na zinafanya kazi kwa pamoja.mfano mzuri Ni huu wa kulitumia jeshi kwenye miradi ya dharura.wananchi tumejifunza kuwa karibu na jeshi Kama taifa wametujengea ukuta wa mererani Hadi hili wapinzani wanapinga. lakini hamtafanya kitu Zaid ya kushuhudia na hamtazuia kamwe .kwenye korosho wanajeshi wameungana na wakulima hamuoni Kama hiyo Ni bahati Sana kwa nchi za Africa.badala yake majeshi yao wameyatumia kwenye Vita kuua watu.sisi majeshi yetu hayaui watu.kwanza watu wanayaogopa.kwa hiyo kitendo Cha jeshi kufanya mambo fulani mazuri kilipaswa kupongezwa.hata Kenya kwenye situation Kama hii wangeungana bila kujali itikadi za kivyama.watanzania wanajifanya kuponda.dah Kuna wapinzani Wana roho mbaya.sema Nini mtaendelea kumpinga Magufuli lakini hamutaweza kwenda kuwakwamisha dola kufanya ilichopanga.serikali yenu nzuri nyie mnaipinga usivunje sheria ukikamatwa Sasa hivi Ni msala.ogopa sana serikali inayoongoza watu million 50 halafu Kuna utulivu.. watanzania wanatakiwa wawe na amani.mnafeli wapi ndugu zangu?
 
Fafanua unamaanisha wakulima kutapeliwa sio matatizo ya watu?
 
Atueleze hela inapatikanaje kiujinga ujinga? Uzembe tangu lini ulimpa mtu pesa?
 
mshamba tu hana dira ya uchumi katika miaka mitatu kila indicator ya kiuchumi imeanguka tumwombe Mungu kwa namna yeyote atuondolee hii laana
 
Mkuu, hivi unalipwa Tshs. ngapi kwa siku? Samahani kama swali langu litakukwaza....nataka kujua tu, maana ukiweka wazi malipo yako unaweza ukashawishi na wengine wajiunge, ilimradi mkono uende kinywani, maana hali ni ngumu, hakuna kuchagua kazi.
 
hivi nguvu za kumsifia huyu jamaa wenzetu mnazitoa wapi?[emoji15]
 
Alishindwa ticha enzi za wajinga, Jamaa yako ataweza enzi za dotcom
 
Kauli nyingine ni za kijinga kabisa. Hivi anayesema hela inaweza kupatikana kiujanja ujanja aeleze hapa, inapatikanaje? Unaposema watu wanaolalamika walikuwa wanapata hela kwa kupiga deal, ebu fafanua ni vipi mkulima wa mahindi anayelalamika hana pesa kwa sababu mazao yake yamekosa mnunuzi, alikuwa anapiga deal? Au mkulima zamani alipokuwa anauza mazao yake bila ya shoda na kwa bei nzuri ndoyo kupiga deal?

Hii nchi sasa hivi imekuwa ya majungu na uwongo. Viongozi wanapiga majungu na kuwadanganya wananchi. Wapiga debe wa viongozi nao kazi yao kubwa ni majungu na hadaa.

Viongozi wanapofeli kwa sababu mipango yako ilikuwa mibovu badala ya kukiri upungufu wao, wanakimbilia kutamka kuwa wote wanaolalamika ni wapiga deal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…