Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hofu ya Mungu kwa yete pia nimevutiwa nayo miaka mingi sasa.
 
Hakuna haja ya kuto muunga mkono rais wetu ni wazi anania ya kuijenga tz mpya!
 
hakuan wa kumshika boss wa homeshoping centre, kama magufuli akimkamata huyo jamaa, nitaamini kweli ameamua kufanya mabadiliko. kuna watu hapa tz tunawaona kama matajiri, wanajidai kama matajiriiii kumbe utajiri ule ni pesa zetu wanatuibia kwa kihuni namna hiyo.
 
Huwa najiuliza ccm mgombea wao alikuwa nani??? Maana magufuli alikuwa ni mpinzani
 
Hakuna km magufuli,alipokuwa kwenye kampen wapinzani wakambeza sana sasa keshakuwa lulu..........magufuli wa ccm oyeeeese
 
Tutanyooka tu kinachotakiwa ni kujiandaa kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…