Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tatizo wewe ni sawa na debe tupu la kuzolea mavi ya punda huko kwenu koromitje
Kifungu namba ngapi kakivunja?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

In God we Trust
 
Kamuulize chakubanga
Hizo risasi 16 ni hizi risasi tunazozijua au kulikua na risasi za mabua?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence.

In God we Trust
 
Na viwanda vinapunguza wafanyakazi kila uchao, sasa huo umeme umesaidia nini? au kuangalia TV nyumbani kwako?
 
Mtikila aliwahi kusema kuna watu wana ugonjwa wa manyani, na wewe ni mmojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui hata cha kuandika ila nadhan huyu mwandikaji ni mlinzi wa ikulu! nakukumbusha ndugu yangu ikulu umeme mwiko kukatika njoo kitaa daily umeme unakatika. jana umekatika mitaa ya tandale. kuzi umekatika mabibo. alhamis tulishinda kutwa nzima kariakoo bila umeme! tanzania gan unaongelea ww???
 
Haaa! Wale wa Arusha mtujuze hali ya umeme huko. Kila siku umeme unakatika. Na hata sasa hivi hakuna umeme
 
Kichaa siyo lazima kuokota makopo mtaani. Kwakuwa hujapona kwa tiba asili, sasa geukia maombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuambie,JPM kazuiaje mgawo wa umeme?Hakuna project yoyote mpya ya umeme mpaka sasa ambayo imeanzishwa na JPM na kukamilika!Sasa hapo tuambie,amepunguzaje mgawo?Au yeye ndio huwa anajaza maji mabwawa ya kufua umeme wa maji?
 
huku mbezi beach unakaribia mwezi sasa umeme unakatwa asubuhi unarudi saa 12 jioni.. mgao upo kwa stayle hizo
 
Aisee.....huu ni ujasir wa kiwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…