Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

una sound like mamangu yes....
wewe ndio unayelia over ccm...
kama aliyepasuliwa yai na hawezi hata kurusha ngumi[emoji1787][emoji1787]
Unalia lia nini? unanililia mimi ni mama'ko?

Oohhh tuko kwenye uchumi wa kati!!

Pumbavu!
 
Huu ni uzi wa ajabu kabisa, sioni uhusiano kati ya HAKI ZA BINADAMU na yale yalio andikwa hapa. Labda mleta mada anipeleke shule. Nimeandika kuhusu mantiki ya uzi tu.
Mkuu hao ni PRAISE TEAM aka MATAGA wao ni Kusifia tu,wao wanasifu chochote tu kwenye awamu ya 5,ANKO aivyokamata madini na milioni 700 akawafunga wale askari MATAGA walishangilia na kumsifu sana kwa kukamata mali za umma,livyoachia tena mataga wakashangilia na kumsifu ANKALI yani wao ni mwendo wa kusifu tu.
 
Hiyo English mwenyewe unaona umefanikiwa.... dalili za ulimbukeni..... Tulipo hiyo lugha ya kawaida sana hatuishangai kama wewe[emoji23][emoji23]

Mpumbavu wewe kama unaona anaezungumza Kiingereza unamuonea wivu namna hiyo!

Kama roho imekuuma sana naongea Kiingereza zaidi yako basi kafie huko,sina cha kukusaidia!

Kiswahili hujui,lugha ya kwenu hujui,Kiingereza hujui,ndio maana mlamba matako ya maCCM!

Shut up!
 
Ushanyonyeshwa na wazungu hadi unaita Tanzania shithole country.... Linda huna wewe....

Shithole!

Hakuna rule of law,hakuna democracy,hakuna independent judiciary!

Hakuna Katiba Mpya,hakuna human rights!

Ni nini kama sio shithole??

Nchi inaendeshwa na group la wachache wenye vichwa vilivyojaa mavi la CcM!

Unategemea nchi hapo kama sio shithole??

Good riddance!
 
faq you
 
faq you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…