Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mipango si matumizi. Hata JKN naye alipanga Makao Makuu yahamishiwe Idodomya, Mzee Mwinyi juzi kathibitisha kwamba wao wote walishindwa ila Chuma ndiye kaweza, tena ndani ya muda mfupi sana.Tatizo mmekuja mjini juzi, hizo ni plan za JK ulizeni muambiwe.
Dikteta alitufikisha hukoHalafu ole wako utoe taarifa polisi umeona tukio unakamatwa wewe kwanza na kupewa kesi ya uchochezi.
DaaahBinafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee wa madili wote watamchukia Rais Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali fulani!
Tuwafichue wote wanaopanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma => Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2020
=>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Hv we jamaa upogo kweliHoyaaaaaaaaaaaa, jamani ehee tumeshachoka Magufuri Magufuri si tumpe angalau mwezi au miezi 3 ndo tutapima si wanasema siku hazigandi tutayaona tu.
Mkuu sipachi picha maumivu uliyopata baada ya kuondoka kwa huyu mwamba[emoji24]Mimi nafurahia kumpigia debe achukue Urais hata nikifa leo nitaacha wosia kwa watoto wangu juu ya hili!
Maana amejumuisha hadi wazazi wake, usikute nao si mtoto wao [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Labda Mtanzania wewe ndio Mnafiki,ni vizuri kutumia neno ...baadhi ya... .lakini unaposema Watanzania wote hapo inabidi uwombe razi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja waje wale zezentuka wenye wako na ndevu mingi kwa kichwa!
Huku Naivasha Magufuli remains a symbol of covid19-victor!
Kweli mkuu! mama anafanya kazi akisikia kelele lakini ubunifu na kuweka mifumo ridhishi kwa wananchi imekuwa ngumu kwake! Uongozi kama unavyosema umekuwa wa kuagiza na tutaangalia tufanyeje !Kwa sasa tuna ombwe la kiuongozi..Itatuchukua muda sana kurudi kwenye mstari!Mambo ambayo naona tunahitaji kwa sasa ni maamuzi magumu na uharaka wa kutoa hayo maamuzi!Kasi ya mafisadi kurudi imekua juu mno ukiacha wahalifu na vibaraka wa mabeberu au wanaharati hewa...
Yaani bado upo kwenye ndoto za alinacha hadi leo?Ngoja niwaibie siri ndugu zangu wana-JF mnaopenda kuja kuwa viongozi wa kisiasa katika siku za usoni.
Nadhani leo sote, tumeona jinsi JPM alivyokuwa anapendwa na watanzania. Sio kupendwa tu bali hata kuaminiwa...
Kwa sasa habari za mujini ni Samia na hizo habari za chato zimeshapitw na wakati na hakuna muda huoNgoja waje wale zezentuka wenye wako na ndevu mingi kwa kichwa!
Huku Naivasha Magufuli remains a symbol of covid19-victor!
Wewe ni mnyarwanda au mushuti habari za watanzania zinakuhusu nini? Ndugu yako alisha kufa hi vyo huna budi urudi kwenu gisenyiKweli mkuu! mama anafanya kazi akisikia kelele lakini ubunifu na kuweka mifumo ridhishi kwa wananchi imekuwa ngumu kwake! Uongozi kama unavyosema umekuwa wa kuagiza na tutaangalia tufanyeje !
Pumba tupu kutoka kwenye akili pumbaKwa sasa tuna ombwe la kiuongozi..Itatuchukua muda sana kurudi kwenye mstari!Mambo ambayo naona tunahitaji kwa sasa ni maamuzi magumu na uharaka wa kutoa hayo maamuzi!Kasi ya mafisadi kurudi imekua juu mno ukiacha wahalifu na vibaraka wa mabeberu au wanaharati hewa.
Vitu kwa sasa vinaenda kimwinyi sana..Kauli nyingi ni "mlifanyie kazi", "serikali tumeliona tunaenda kuliangalia", "nitawaagiza walifuatilie" n.k..Hizi kauli hazina matumaini kabisa zaidi ya siasa!!