Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Watoto waliotengenezewa Nyumba za Wageni utawajua tu wanawaza matusi.Mimba yako ilitungwa Guest unategemea nini zaidi ya kuwa unawaza matusi tu
Hivi anayewaza matusi ni nani kati ya mimi na wewe??
UKUTA ni kitu kigeni kwako??
 
Hivi anayewaza matusi ni nani kati utoto. na wewe??
UKUTA ni kitu kigeni kwako??
Tafsiri sentensi yako nzima ukiandika ujinga utajibiwa ujinga mkuu sio kila kitu mnaleta utoto.UKUTA maana yake ni Umoja wa Kupambana na Udictator Tanzania sasa nani anayeshika ukuta.mlaumu bi mkubwa wako
 
Wasikilize siku moja utawasikia wakisema,majaribio 8 ya mapindunzi yalifanywa wakati wa chama kimoja.
Waambieni wasitugeuze watu wa kale kwa kutulisha vyakula vya juzi,jana na leo pamoja wakati wakijua huo ni uchufu mkubwa sana.
Ni hao ambao walikuwa msitari wa mbele katika kubeza maendeleo yaliopatika kwa miaka 50 ndani ya ccm.
Bado wanaendelea kubeza dhamira madhubuti na mikakati ambayo inaonyeshwa na JPM kwa ajili ya kuijenga Tanzania.
MMEZIDI KUTUGEUZA WATU WA KALE
 
Hakika Mungu ni mkuu. Mwl nyerere alipata kusimulia hadithi nzuri sana ambayo inawajibu wanafiki wote wanaompigia kelele Dr Magufuli. Sikiliza audio ya Mwl Nyerere hapa chini
"Kiongozi hata awe mzuri vipi lakini kama anavunja demokrasia hatufai"-Julius Kambarage Nyerere
 

Uchufu ndio nini??

Alaf siku nyingine sema mimi sio sisi...
 
Uchufu mkubwa sana
 
"Kiongozi hata awe mzuri vipi lakini kama anavunja demokrasia hatufai"-Julius Kambarage Nyerere
Dr Magufuli hajavunja demokrasia. Ila nyie wapinzani ndiyo mnalengo la kuvuruga amani yetu. Mnahubiri chuki, mnashabikia ufusadi. Nchi hii ni yetu sote, tuache kufitiana. Hivi akina Mbowe wageenda wanahimiza wanachi wafanye kazi, wanawashukuru wananchi kwa kuwapigia kura nani angewazuia kufanya mikutano??? Lakini wao wanaenda kuwaambia wananchi wasilipe kodi, wananchi wasifanye kazi waandamane kuipindua serikali iliyoko madarakani, wanahimiza vijana wanywe viroba badala ya kazi, n.k.
 
Nyerere na Demokrasia wakati wa utawala wake ni kama Mbuzi na Maji
Ndio kayasema hayo,kipindi chake ndio tulikuwa kwenye transition kuja kwenye demokrasia!Ndio maana ni yeye pekee alitawala kwa miaka 23 baada ya Uhuru!
 
Ndio kayasema hayo,kipindi chake ndio tulikuwa kwenye transition kuja kwenye demokrasia!Ndio maana ni yeye pekee alitawala kwa miaka 23 baada ya Uhuru!
Transition gani kukuta Vyama vingi na kuvifuta then useme ni mpenzi wa Demokrasia
 
Transition gani kukuta Vyama vingi na kuvifuta then useme ni mpenzi wa Demokrasia
Hujui historia ya nchi hii ndio maana unapayuka,amekuta vyama vipi Vingi na kuvifuta!Hujui nchi ameitoa kwa mkoloni?
 
If you argue with fools,they will drag you down to their level and defeat you with experience,I won't be part of it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…