Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Achievements za Mhe. Rais Uhuru:
1. Kuunganisha makabila 28 ya nchi.
2. Kuondoa urais kwy milki ya Wakikuyu pekee.
3. Kuonyesha njia kwamba rais awe kinara wa kutekeleza sheria pale alipokubali kwenda Mahakamani The Hague. JPM angekubali kwenda? Al Bashir amegoma hadi kesho.
4. Amejenga SGR. Kisumu port, Kisumu International Airport.
5. Ame-rollback ughaidi wa Al-Shabaab.
6. Ameleta (japo kwa mkono wa Raila) Katiba Mpya.
7. Ame-explore oil na kuyakuta baharini mpaka na Somalia.
8. Ameendeleza EAC kwa upande wao wa Kenya.
9. Amewezesha sekta ya benki za ndani kuvuka mipaka ya nchi (KCB na Equity Bank plc) zimefika Central Africa (DR Congo na Zambia), Sahel Region (South Sudan), Great Lakes na EAC.
10. Enzi yake, Kenya imeunda na kurusha anga za mbali (space) Satellite kwa ajili ya kilimo. Tz hatujui lini tutafikia hatua hii ya Kenya.
11. Ame-combat Covid-19.
12. Enzi yake rais Uhuru, KQ imekodi SAA na kuchukuwa routes zake zote duniani pia.
13. Ameboresha Mombasa Port.
14. Amejenga four-lane highway ya Mombasa Nairobi (aliikuta two-lane).
15. Kwa mawazo ya Raila yaliyowekwa kwy Katiba mpya, rais Uhuru amegatua madaraka (D by D (Decentralization by Devolution)) iliyovunja majimbo/provinces/mikoa na kuleta county system km US. Si dhambi kutekeleza mawazo ya mpinzani. Magufuli pia alifanya vzr kwa kutekeleza mawazo ya wapinzani.
16. Ameendeleza elimu bure ya rais Kibaki.
17. Ameondoa assassinations Kenya.
Orodha ni ndefu.