Kenya 2022 Mafanikio ya Rais Uhuru Kenyatta

Kenya 2022 General Election

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Achievements za Mhe. Rais Uhuru:

1. Kuunganisha makabila 28 ya nchi.

2. Kuondoa urais kwy milki ya Wakikuyu pekee.

3. Kuonyesha njia kwamba rais awe kinara wa kutekeleza sheria pale alipokubali kwenda Mahakamani The Hague. JPM angekubali kwenda? Al Bashir amegoma hadi kesho.

4. Amejenga SGR. Kisumu port, Kisumu International Airport.

5. Ame-rollback ughaidi wa Al-Shabaab.

6. Ameleta (japo kwa mkono wa Raila) Katiba Mpya.

7. Ame-explore oil na kuyakuta baharini mpaka na Somalia.

8. Ameendeleza EAC kwa upande wao wa Kenya.

9. Amewezesha sekta ya benki za ndani kuvuka mipaka ya nchi (KCB na Equity Bank plc) zimefika Central Africa (DR Congo na Zambia), Sahel Region (South Sudan), Great Lakes na EAC.

10. Enzi yake, Kenya imeunda na kurusha anga za mbali (space) Satellite kwa ajili ya kilimo. Tz hatujui lini tutafikia hatua hii ya Kenya.

11. Ame-combat Covid-19.

12. Enzi yake rais Uhuru, KQ imekodi SAA na kuchukuwa routes zake zote duniani pia.

13. Ameboresha Mombasa Port.

14. Amejenga four-lane highway ya Mombasa Nairobi (aliikuta two-lane).

15. Kwa mawazo ya Raila yaliyowekwa kwy Katiba mpya, rais Uhuru amegatua madaraka (D by D (Decentralization by Devolution)) iliyovunja majimbo/provinces/mikoa na kuleta county system km US. Si dhambi kutekeleza mawazo ya mpinzani. Magufuli pia alifanya vzr kwa kutekeleza mawazo ya wapinzani.

16. Ameendeleza elimu bure ya rais Kibaki.

17. Ameondoa assassinations Kenya.

Orodha ni ndefu.
 
Apo no 2 ebu fafanua ameondoa vipi urais kutoka kwa wakikuyu au wanandi kwenda kwa makabila mengine
 
Mafanikio ya Mhe. Rais Uhuru:

Itawachukua muda sana Watanzania kuja kuelewa nini umuhimu wa katiba mpya, hatutegemei utashi wa mtu ila katiba, hata akija kichaa aukwae, bado atadhibitiwa.
Kwa kweli binafsi siku za mwanzo nilikua na uwoga wa namna ambavyo nilidhani tutaongozwa na rais Uhuru, nilimwona kama chapombe na mvuta bangi ambaye ataibuka na maamuzi ya kutuangamiza, ila nimependa alivyokubali kukalishwa na kukubali miongozo ya kikatiba, kauli zake nyingi za awali zilibatilishwa mahakamani na akawa anaheshimu hayo maamuzi na kukubali kunyooka, na mpaka hapo tumefaidi utengamano, mshikamano na mafao mengine tu.

Tuombe rais ajaye azingatie hatua hizo hizo bila kukengeuka, uzuri miradi yote ya kimikakati ipo kikatiba na inalindwa na katiba, hatutegemei kichaa yeyote aje na kubadili chochote.
 
Uhuru Kenyatta ndiye rais ambaye nchi yake inaongozwa kwa kufuata utawala wa kidemokrasia katika eneo linaloongoza kwa utawala wa kiimla.

Katika ukanda huu watu tuna mengi ya kujifunza kutoka Kenya kuhusiana na utawala wa kidemokrasia.
 
Yaani niliposoma point ya kwanza tu nikajua huyu mleta mada hajui anachozungumzia. Kenya ina makabila 42 au zaidi, hiyo 28 wewe umeitoa wapi?

Katiba mpya ya Kenya tuliipata 2010 chini ya utawala wa Mwai Kibaki na mwenzake Raila Odinga, kwenye serikali yao ya nusu mkate. Uhuru alipata tayari kuna katiba mpya, ikiwa ni pamoja na huo ugatuzi. Sasa utasemaje kwamba alitupatia katiba mpya na akaleta ugatuzi?

Benki za Kenya pia na sekta yote ya fedha kwa ujumla zilinawiri wakati wa utawala wa Mwai Kibaki, sio Uhuru. Hizo benki zilivuka boda kwasababu ya sera za Kibaki. Fanya risechi yako vizuri kabla ya kukimbilia kuanzisha uzi, huku kuna wakenya jombaa. Facts kuhusu nchi yao wanazo zote.
 
Uhuru Kenyatta ndiye rais ambaye nchi yake inaongozwa kwa kufuata utawala wa kidemokrasia katika eneo linaloongoza kwa utawala wa kiimla.

Katika ukanda huu watu tuna mengi ya kujifunza kutoka Kenya kuhusiana na utawala wa kidemokrasia.
Hakuna cha kujifunza Kenya kuhusu utawala. utawala wao ni useless kabisa[emoji706]
 
Kenya has over 70 ethnic groups (not 42) and 28 major tribal groups. Makonde was officially gazetted as the 28th tribe of Kenya July 2014 after Kwale County Assembly petitioned the president.

Kuhusu katiba.
Dunia ni shahidi kwamba ni rais Uhuru ndiyo amerekibisha katiba hiyo na kufanya Kenya kutawalika. Hivyo ni mpya kwa marekebisho yaliyoasisiwa na rais Uhuru.

Ni katiba hiyo iliyoandikwa km msahafu ndiyo ilidororesha mahusiano ya Raila na Kibaki.

Raila alikuja na katiba km msahafu ukamshinda Kibaki.
 
Kwa huu upuuzi hamna haja ya kupoteza muda wangu bure nikijibizana na wewe.
 
Kwa huu upuuzi hamna haja ya kupoteza muda wangu bure nikijibizana na wewe.
“To measure a country’s wealth by its gross national product is to measure things, not satisfactions.”

From a speech written by Julius Kambarage Nyerere, The Rational Choice given on 2 January 1973 in Khartoum. -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…