Mafanikio ya Sekta ya Elimu Haya Hapa

Ahsante sana ndugu. Nitaisoma baadaye, kwani tumezoea kusikia sifa lukuki ili hali wahitimu wasiojua kusoma na kuandika ikiongezeka, n.k
 
Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kusoma ripoti. Nahisi watakaosoma ripoti hii ni wachache.Ingekuwa porojo wengi tungeichagamkia!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…