Mafanikio ya Simba na yanga

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Simba kwa miaka mitano ya ubora wao wamefanikiwa kufika robo final ya club bingwa mara 4 na robo final ya Caf federetion mara 1

Yanga mwaka mmoja wa ubora wao wamefanikiwa kufika final ya Caf federetion
Ambayo simba walitamani kufika mwaka jana
Kwa bahati mbaya roho ya robo ikawafuata mpaka federetion cap
Vita bado mbichi [emoji23][emoji28][emoji23]
 
Ndani ya Miaka 24 kama sio 25, Yanga haijawai Kuingia Makundi CAF CL..!

Simba inayo Rekodi ya Kuvaa Medali za Fainali ya CAF...! Yawezekana ulikuwa bado hujazaliwa...! 1993
 
Ndani ya Miaka 24 kama sio 25, Yanga haijawai Kuingia Makundi CAF CL..!

Simba inayo Rekodi ya Kuvaa Medali za Fainali ya CAF...! Yawezekana ulikuwa bado hujazaliwa...! 1993
Since 1998. na walikua wa mwisho kwenye kundi.
 
umesahau,walifanya ulozi hadharani lkn wapi!!!
 
Sasa ndio umeandika nini mkuu???

Vitu vingine muwe mnaona AIBU kujaza serva za Jamii forum.

Jitahidi kuandika ANDIKO Lenye maana Lenye kumfaa msomaji, ajifunzw KUPITIA ANDIKO.

Sasa SIJUI Umejaza mafunza kichwani.
UNAANDIKA UPUMBAVUUFU MTUPU SH3NZI KABISA.
 
Ndani ya Miaka 24 kama sio 25, Yanga haijawai Kuingia Makundi CAF CL..!

Simba inayo Rekodi ya Kuvaa Medali za Fainali ya CAF...! Yawezekana ulikuwa bado hujazaliwa...! 1993
Ndo anaingia mwaka huu na kufika final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…