Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
5. Jiwe asimnyanyase MANJI na kusababisha kuhama nchi na biashara zake.Funzo kubwa ni kwamba
1: Ili kufanikiwa ni lazima uwe na mipango na malengo.
2: Uchumi imara ili kufikia malengo yako.
3: Watu wenye weledi mkubwa.
4: Uvumilivu na kutokata tamaa.
Simba ni club siyo timu ya taifa na sheria za usajili zinaruhusu kusajili wageniKufika hii hatua kuna faida gani bila kubeba kombe?
Hakuna faida yoyote kwa Tanzania kwa sababu Simba imefika hapo kwa msaada wa 95% msaada wa wachezaji wa nje. Nadhani kama taifa tunapaswa kuangalia tunaliinuaje soka la ndani?
Mafanikio haya ni ya simba na si taifa. Mamelod asiliamia 95 ni wazawa, kaizer Asilima 85 ni wazawa, al Ahly Asilima 95 ni wazawa. Timu ya simba 30 asiliamia Ndio wazawa.