CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna Mwalimu mmoja tuna muita Bill ni Baba ake mtu maaludu sana Jf, aliwahi kutuambia kwamba Uoga na Aibu kamwe huwa haziko upande wa mafanikio, kwamba huwezi fanikiwa huku ukiwa na ainu na uoga.
Hizi Picha chini ni za Wakenya ambao wengi ni wafanya kazi na kipindi hiki kama unavyo jua Korona makampuni mengi yamefunga office na Mashirika mengine unaambiwa fanyia kazi nyumbani.
Sasa mtu anaona afe na njaa ndani? Hapana je akiogopa mtu huyo mtu atamuwekea ugali mezani? Hapana. Akiona aibu je huyo anaye muonea aibu atampaia pesa? Hapana.
Hivyo mtu anaamua anawasha gari lake anaweka mbogamboga na matunda anaingia barabarani anauza.
Jioni unarudi na mkate wa watoto na mpaka mwezi uishe ameosha kusanya kodi ya nyumba.
Hayo magari yaliyo jipanga kulia ndo wanao uza, kushoto ni watu wanao simama. kununua.