Walimu wanalalamika kuwa formula mpya ya kukokotoa mafao ya wastaafu imewapunja. Mko sawa kabisa, very sad news! lakini kuna wenzenu walikuwa wanapata milioni 5, 1.4, 1.8 M Tsh baada ya kufanya kazi kwa miaka 35. Tuna mifano ahi (si vizuri kutaja hapa). Sasa tufanyeje. Hao niliowaorodhesha hapo juu angalau sasa watapata juu kidogo (hakiridhishi pamoja na hayo). What is the way forward? Wasimamishe waendelee kupata hicho au tupokee hicho wakati tunapambana ili wote twende juu kama walimu mliko?