Mafao ya PPF na sheria

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Mwajiri hajalipa michango yangu PPF miaka.2. Kila akikumbusha anadai hana fedha na inaonesha hilo sio priority kwake! Naomba kujua cha kufanya kisheria ili kumlazimisha anilipe haraka nitakapoacha kazi.
 
UUnatakiwa kutoa taarafi huko ppf wao watamlima barua ya kuomba apeleke taarifa ya jumla ya michango ya wafanyakazi wake halafu waaanzia hapo kufuatilia jina moja moja
 
Toa taarifa ppf kimaandishi baada ya hapo watamfuatilia na watampiga faini ya 5 percent kwa kila muajiriwa kwa kila mwezi...ppf ndio wanamshitaki so we jukumu lako ni kupeleka taarifa kimaandishi tu na ni siri yako we na ppf

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Asanteni sana. Mwajiri hajapeleka mamilioni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…