Mafao ya Viongozi: Mwenza wa Rais Mstaafu kulipwa 60% ya Mshahara wa Rais kwa maisha yake yote

MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO:

Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225)

enti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa wakati akikabidhi nyumba mpya kwa Rais mstaafu JK.
Mwishoni ungeandika kwa hisani ya wakili msmi Baba Mwita. Kama shukrani kwa kukopi andiko lake kule twitter
 
Kuna siku Raisi Mama Samia aliwahi fokea Watendaji kuwa mihela yote mnaiba mtaenda nayo peponi?

Haya hiyo mifao yote umiza walipa kodi wataenda nayo peponi? Mihela kibao hiyo loo
 
Mie napendekeza tumwongeze cdf na igp, kuna igp mstaafu namwonaga akijipikia mwenyewe sio poa
 
Naweza kuhisi kuwa mama hana tamaa ya kuendelea kuwa rais hata kwa mwaka 2025!! Ila anajiandalia mazingira mazuri ya kuendelea kupiga pesa za halali kupitia mume wake baada ya kuachia ngazi!!
 
Halafu ndio mnategemea CCM itatoka madarakani?
 
Kuna mstaafu mmoja wa jeshi la polisi alistaafu na cheo Cha sajenti baada ya kuitumikia nchi yake kwa uadilifu mkubwa kwa miaka zaidi ya 35 amepewa mafao ya milioni 18.
Yaani shilingi za kitanzania 18,000.
Hela ya kununua IST. mstaafu huyu anasema anaona aibu kurudi kwao Kanda maalum kwa vijisenti alivyopewa. Yuko tayari kumalizia maisha yake kunani pale.
 
Dah, alafu watanzania wapo tu, wajawazito wamelala sakafuni huku wakiambiwa waje na vifaa vya kujifungulia, !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…