Ukiwaambia hivi kwa ushauri mzuri bado wanakuja wakuteke wakakuue au wakupotezeMafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mkwe wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu.
Kwenye nchi maskini kama Tanzania matunda ya vyoo tunajengewa kwa hisani ndo kweli twende kulipa wenza wa Viongozi ambao sio Waajiriwa.
CCM mtandao hamna uchungu na nchi. Mwingulu Nchemba yeye kaahakikisha anaua mfuko wa road fund barabara hamna kujengwa ila hii nchi mnaibagaza sana jamani. Kuweni na huruma.
Pia soma > GE2025 - Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka
Kwenye hiyo attachment ya Kicheere, hao wastaafu wanachangia shilingi ngapi? Au ni kama mtandao fulani unatutoza sisi lakini baadhi hauwatozi tozo?mstaafu
Anabadilishiwa mpaka gari jipya mke wa Mstaafu anapewa kile anachopewe Waziri mkuu Mstaafu na yeye anapewa vile vile hatari sana hii viongozi ni wengi Sana tutakipia wake zao wangapi?Ukiwaambia hivi kwa ushauri mzuri bado wanakuja wakuteke wakakuue au wakupoteze
Just imagine bilioni 84 zingejenga kilometers nyingi za lami then matundu mangapi ya vyoo tungejenga hospital ngapi tungepeleka Uduma kuokoa watu tuwe serious kama nchiAliyesababisha dharau hii kwa Watanzania ni JK rais mstaafu
Hii nchi Inaitaji uponyaji Tunapoelekea sio alafu mtu kama Lissu yuko ndani kisa makaa ya Mawe kusema jamani tunanufaika vipi na hii mali ndani na uhaini juu😂😂Kwenye hiyo attachment ya Kicheere, hao wastaafu wanachangia shilingi ngapi? Au ni kama mtandao fulani unatutoza sisi lakini baadhi hauwatozi tozo?
Dharau ni nyingi sana. Mifano ni mingi kama mafao kwa wenza, kinga kwa wahuni wote, kuuza Bandari, Misitu, Ngorongoro, makaa ya mawe, Mwadui, KIA kifisadi.Mafao ya wenza wa Viongozi ilikua ni Ishara mbaya na ya dharau sana kwa wananchi umlipe Waziri Mkuu Mstaafu halafu ulimpe na mke wake hizo ni dharau sana kwa wananchi hiyo ilitosha kuandamana na kuondoa huo ujinga wa ali ya juu.
Kwenye nchi maskini kama Tanzania matundu ya vyoo tunajengewa kwa hisani ndo kweli twende kulipa wenza wa Viongozi ambao sio Waajiriwa.
CCM mtandao hamna uchungu na nchi. Mwingulu Nchemba yeye kaahakikisha anaua mfuko wa road fund barabara hamna kujengwa ila hii nchi mnaibagaza sana jamani. Kuweni na huruma. Imagine mke wa Mstaafu wanalipwa hawajai kuajiliwa kisa mme wake anapewa gari jipya uduma zote nyumba anajengewa hii Nchi ni kama ina laana Mungu amemleta Magufuli mtandao ukapiga propaganda Tukamchukia mzee wa watu bila sababu yule Mzee alisema mtanikumbuka sio kwa Mabaya alikua anajua yuko kwenye vita kubwa sema alishindwa kusema kwamba jamani kuna watu wanisumbua watanzania wenzangu yule Mzee alikua kwenye vita kubwa sana
Pia soma > GE2025 - Kiza Kiyeye: CCM wamepitisha mafao kwa wake wa viongozi wakati watu wanateseka