kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Habari za kupambana n majukumu ya siku!!!
Mm Kama kijana wa kitanzania mwenye afya timamu.Kama mfanyabiashala wa kati ambae riziki yangu c haba kwa kweli.
Nimekaa na kutafakali sana mpaka sasa kuhusu bznesi zangu nashukuru mungu zinaenda vzr.
KUBWA HASA KICHWANI KWANGU kwa sasa
Nikuwekeza katika MASHAMBA YA MITI uko NJOMBE,IRINGA na MAFINGA kwa HEKA zaidi ya 30.ili baada ya miaka 10 -15 kijekua kama ndio kiinua MGONGO CHANGU.Hapo baadae kwa kua mm naiogopa sana kesho yangu kuliko maelezo.
Ndio najipanga hapa kuanzia 8-8-2017 kwakua nitakua mkoani morogoro kwenye NANE NANE PALE.kisha niunganishe kwenda mpaka uko kwenye uwekezaji wangu w shamba la miti.
Naamini nitaweza kwa nguvu ya mungu katika hili [emoji120].