jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Hili Jambo limekuwa likinitatiza sana hasa nchini Misri na Israel.
Kumekuwa na mtindo wa kufukua makaburi ya watu wa kale kwa kisingizio cha kufanya tafiti za kihistoria.
Hivi hao watu waliozikwa kwenye hayo maeneo wangekuwa Waarabu toka enzi na enzi kweli wangediriki kufanya hivi vitendo vya kufukua makaburi ya wazee wao? Wakati hata Imani zao za kidini zinakataza Jambo hili.
Nikawa najiuliza mbona kuna nchi nyingi ambazo Zina historia ndefu na tamaduni za karne na karne lakini hichi kitendo Cha kufukua makaburi ya wazee wao ni mwiko kufanya, mfano nchi hizo no India, China, Korea, Japan na nchi za Ulaya.
Isije ikawa mababu zetu ndio wanadhihakiwa huko, huku sisi tumelala usingizi wa pono kwenye hizi nchi za Giza ambazo hakuna ustaarabu, tamaduni Wala historia yetu.