heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Hatua nyingine ya mziki wa TZ inaenda kupigwa..diamond na hata sisi hatukufahmu kumbe diamond anachukuliwa hadi na wasanii wakubwa kama msanii mzuri kabisa ambae wakifanyz nae collabo,mziki wao utafanyz vizuri,mpaka juzi kabla ya tuzo mafikizolo walipomwomba diamond abaki wafanye nae wimbo,kumbuka diamond alitakiwa arud nyumba jumapili lakini wao walilipia gharama zote za kuendelea kubaki mpka nyimbo ifanyike,na kazi imefanyika,diamond mpka anenda studio hakua ameambiwa wala kujua idea ya wimbo,katungia mashairi mule mule studio, na pale alipoingiza sauti mafikizolo wenywe wakakubali kweli kijana yupo vizuri,hii inatoa mwanga na picha nzuri kuwa mziki wetu taratibu utafika tutakapo ufike, zamani tulizoea akija msanii mkubwa tunatafuta upenyo na kubembeleza kufanya collabo rakini sasa mambo yamebadilikaa,Diamond sasa anatafutwa na wasanii wakubwa.
Kumbuka pia kuna collabo na iyanya ipo soon,na kuna collabo nyingine za wasanii wakubwa tu nigeria na west kwa ujumla ambazo bado zipo stoo na zingine ziko mbion kukamillika.THATS MY BOSS N AM PROUD OF HIM.
usipitwe na picha za matukio ya kila siku ya diamond na wasafi kwa kufollow IG page, ya wasafi @ wcb_wasafi ,pia page yangu ya @ Kifesi
na www.thisidiamond.com