KWELI Mafinga imenyesha Mvua iliyoambatana na Barafu

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Nani yupo free tuvae zile nguo za christmas twende mafinga tukapige picha.....kisha tujipost "Russia here we are"
 
Kuna mabadiliko ya hali ya hewa. Jana mvua ilinyesha maeneo mengi ya nchi. Hususan Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa nchi. Kwa kanda ya Ziwa haina shida maana msimu huanza tangu Septemba.

Lakini mikoa mingine kama Iringa, Mbeya Tabora msimu nibkuanzia Novemba. Hii mvua imekuja kipindi ambacho anga bado lina ubaridi na ndio maana ikajitengeneza mvua ya mawe.
 
Siyo jambo jipya hilo; hiyo huitwa "mvua ya mawe," na imekuwa inatokea mara nyingi sana katika maeneo mbalimbali ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…