Mafinga-Mgololo tunataka lami

Mafinga-Mgololo tunataka lami

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk

Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...

Uzi.
 
Kama Kihenzile huwa anafanya mawasiliano na Kigahe wafanye watupishe ase,haiingii akilini barabara ya kutoka mafinga to mapanda tanroads walishabomoa nyumba za watu kwa madai ya kuwa wanajenga barabara ya kiwango cha lami tangu mwaka 2012 lakini hadi leo hakuna kitu
 
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk

Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...

Uzi.
Nilikuwa nasikia kuna mahali wanalima karatasi na hardboard kumbe ni Mgololo! Lazima mpewe lami.
 
Serikali imeweka nguvu yote kuweka lami barabara ya mpiji magoe ikiziunganisha,Barabara za kibamba,msumi na makabe, nyie wa mkoa tulieni kwanza
 
Mafinga hadi Mabaoni kuingia Nyororo ni km 100 tu.
Ajabu lami hawaweki wanatupiga siasa. Barabara za ndani ndani huko Luhunga zina barabara ila hii wanapigia siasa, valuwona
 
Nilikuwa nasikia kuna mahali wanalima karatasi na hardboard kumbe ni Mgololo! Lazima mpewe lami.
Ndio huku aisee karatasi za kutosha, mbao, nguzo nk ila miaka nenda rudi lami hawaweki wanaleta siasa tu, wamebandika kalami kidogo hadi Luganga miaka sasa wameishia hapo hawapo tena...barabara inaharibu sana magari na kuchelewesha uchumi huku.
 
Serikali imeweka nguvu yote kuweka lami barabara ya mpiji magoe ikiziunganisha,Barabara za kibamba,msumi na makabe, nyie wa mkoa tulieni kwanza
Bila huku nyie huko town mtarudi mje tulime huku, huku kusipokaa vizuri mtapata taabu huko mjini
 
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk

Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...

Uzi
Kahawa inalimwa vijiji gani niliwah kuwa huko sijawahi iona?
 
This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk

Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...

Uzi.
Kwani mbunge ndio analeta barabara? Unless mlipomtuma akawaambie wahusika alikaa kimya
 
Anao huo wajibu tena mkubwa tu. Lobbying ni trait ya kiongozi na kama kashindwa kulobby lami iwekwe eneo strategic kama Mufindi huyo anafaa atupishe tuweke mbunge atakaetuletea barabara.

Huku kila kitu cha kimaendeleo tunafanya kwa bidii kubwa chai,mbao,miti dawa,mitinguzo,hardboard,karatasi nk...ila tunaangushwa na barabara

Mathalani kutoa mzigo mgololo hadi mafinga less than 80 kilometers unaweza kutumia siku nzima sababu ya barabara...hii ni kurudishana nyuma kimaendeleo...
 
Ndio huku aisee karatasi za kutosha, mbao, nguzo nk ila miaka nenda rudi lami hawaweki wanaleta siasa tu, wamebandika kalami kidogo hadi Luganga miaka sasa wameishia hapo hawapo tena...barabara inaharibu sana magari na kuchelewesha uchumi huku.
Sasa nawezaje kupata mbegu za karatasi za kutosha ekari tatu nijaribu kama zitakubali.
 
Back
Top Bottom