Nilikuwa nasikia kuna mahali wanalima karatasi na hardboard kumbe ni Mgololo! Lazima mpewe lami.This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk
Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...
Uzi.
Serikali imeweka nguvu yote kuweka lami barabara ya mpiji magoe ikiziunganisha,Barabara za kibamba,msumi na makabe, nyie wa mkoa tulieni kwanzaThis is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk
Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...
Uzi.
Ndio huku aisee karatasi za kutosha, mbao, nguzo nk ila miaka nenda rudi lami hawaweki wanaleta siasa tu, wamebandika kalami kidogo hadi Luganga miaka sasa wameishia hapo hawapo tena...barabara inaharibu sana magari na kuchelewesha uchumi huku.Nilikuwa nasikia kuna mahali wanalima karatasi na hardboard kumbe ni Mgololo! Lazima mpewe lami.
Bila huku nyie huko town mtarudi mje tulime huku, huku kusipokaa vizuri mtapata taabu huko mjiniSerikali imeweka nguvu yote kuweka lami barabara ya mpiji magoe ikiziunganisha,Barabara za kibamba,msumi na makabe, nyie wa mkoa tulieni kwanza
Kahawa inalimwa vijiji gani niliwah kuwa huko sijawahi iona?This is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk
Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...
Uzi
Kwani mbunge ndio analeta barabara? Unless mlipomtuma akawaambie wahusika alikaa kimyaThis is too much tukutane 2025...hii barabara itatoka na mtu kwenye kiti. Haiwezekani ukanda huu tuzalishe
1. Chai
2. Karatasi
3. Mbao
4. Kahawa
5. Hardboard
6. Pareto
7. Parachichi
8. Nguzo za umeme na simu
9. Mahindi na nafaka kibao
10. Cinchona (miti ya kuzalishia dawa za malaria)
Nk
Lakini miaka nenda rudi mnatupiga kalenda tu mbunge Kihenzile inabidi ujitafakari 2025 haitakuwa rahisi kwako huku Jimboni, tumechoka siasa za kila mwaka lami haiwekwi...
Uzi.
Anao huo wajibu tena mkubwa tu. Lobbying ni trait ya kiongozi na kama kashindwa kulobby lami iwekwe eneo strategic kama Mufindi huyo anafaa atupishe tuweke mbunge atakaetuletea barabara.Kwani mbunge ndio analeta barabara? Unless mlipomtuma akawaambie wahusika alikaa kimya
Sasa nawezaje kupata mbegu za karatasi za kutosha ekari tatu nijaribu kama zitakubali.Ndio huku aisee karatasi za kutosha, mbao, nguzo nk ila miaka nenda rudi lami hawaweki wanaleta siasa tu, wamebandika kalami kidogo hadi Luganga miaka sasa wameishia hapo hawapo tena...barabara inaharibu sana magari na kuchelewesha uchumi huku.