MAFISADI wa BongoTZ nao wajiandae

MAFISADI wa BongoTZ nao wajiandae

Heeeee!!!!

This is too good to be true!

It shows how some Leaders are committed to good

governance!

If all leaders in the world were of this type, the planet

Earth would be

a better place to live.

Ni lini JK atajitundika kutokana na jinsi serikali yake

ilivyoshindwa kudeliver kwa wananchi? Is he having any

such dream, or its- TIME TO RELAX!........kila mtu*******msalaba wake!
 
Wewe unatarajia RA au EL wajinyonge siku moja??

Hapana, warudishe tu pesa walizoiba, watubu, Mola awasamehe!
 
waafrica hatuna culture of 'honour'
tumesahau chenge hadi dakika ya mwisho alikuwa anasema hatajiuzulu uwaziri!
lowassa hadi dakika ya mwisho tbc wale wale walionrusha rafiki yake wa karibu rostam walimlinda.
mugabe ndo hivyo and list goes on and on..
chinese koreans and mostly japanese wana respect ya hali ya juu...end public image is everything to them. Honour for the family name etc
 
Rais wa zamani wa Korea ya Kusini Bw. Roh Moo-hyun amefariki dunia baada ya kujirusha kwenye genge alipokuwa katika matembezi ya miguu kutazama nchi (HIKING). Hii haikuwa bahati mbaya kwani Bw. Moo-hyun alikuwa ameacha ujumbe akieleza sababu ya kuchukuwa hatua hiyo ya kujiua.

Bw. Moo-hyun alisadikika kama Mr. Clean nchini kwake lakini alikumwa na kashfa ya rushwa iliyokadiriwa dola miliono 6 kutoa kwa mfanyabiashara mmoja nchini humo. Rais wa zamani huyo aliwahi kuhojiwa kwa masaa 13 na mwendesha mashtaka nchini humo kuhusiana na skendo hiyo. Pamoja na hayo Bw. Moo-hyun alikiri kuwa alipokea baadhi ya fedha hizo lakini alikana kwamba haikuwa rushwa.

source: BBC, NYTIMES, ATIMES
 
My take: Naamini atakuwa amesaidia kupunguza gharama za walipa kodi kuendesha kesi yake. Alishakiri kuwa alilamba dume kwa kupokea burungutu ingawa alikataa kuita hilo burungutu Rushwa. Upelelezi bado unaendelea, naamini kilicholambwa kitarudishwa kwa walipa kodi nchini humo.

Ingekuwa bora fisadiz wetu hapa Bongo ukianzia BWM naye angechukuwa mkondo huo huo ili tusijetumia pesa za walipa kodi kuendesha kesi zao. Teh teh teh aaaahha aahahaa ahahaha. Waturudishie vilivyo vyetu basi nao wakajitafutie makazi huko aliko Bw. Moo-hyun

Nasubiri critics.
 
Uwakumyitu uju!!!

Weye Indume Jene...Angalia hii mambo...!

Thread hii TAYARI imeshapostiwa na jamaa mmoja anaitwa

"OUTLIER" leoleo kwa Thread inayosema "mafisadi wa

bongo jiandaeni".
Sasa naona itakuwa ni dublication na tutashindwa

kuchangia.

Please Mods, tazameni contents za hizi threads and then

you can decide where to place them .

Nawasilisha.
 
Pesa tu angerudisha na sii kujiua!

Huenda walimpa pressure kubwa mno!

mkuu mzalendo,asia sio kama bongo unakula rushwa then ukingundulika unarudisha na soo linakuwa limeisha.waasia wao mhujumu uchumi wa aina yeyote huwa wanampoteza (wananyonga) tu.
 
Jamani,
Amekwepa KESI NA WANADAMU, AKACHAGUA KESI NA MUNGU.
Laiti angejua kuwa kujiua ni kujipeleka jehanam moja kwa moja.
 
Anajua hiyo ndio adhabu yake hakuna longolongo huko china , japan korea.hawavuni mabua hao ni uhai tu kwa kosa la kutumia madaraka vibayahaswa swala la rushwa
 
Naona hata Mkapa amepata fundisho hapa nae anaweza kwenda kule kwake Erente akajimalize. Ila yake itakuwa kali kwani antanguka kutokea Lushoto na kuangukia Mkumbara Korogwe, karibia kilometa.
 
Imagine mtu kama Mkapa (mfupi na mnene) anajirusha.
 
kwa hakika mnanichekesha sana i am really enjoying your viwes yaani mna mawazo ya kila aina 'the home of great thinkers' hawa wa hapa kwetu wamechagua kesi na mungu ya kutudhulumu naamini wanaamini haya, hapa wanatumbua lakini kiaibu aibu ingekuwa mimi ningewaurudishieni mali zenu ya nini maneno na walimwengu.
 
Mafisadi wajinyonge.
come on Mr. Ben what are you waiting for?
 
Back
Top Bottom