Mafisadi wagawa fedha kama njugu kwa wananchi

Mafisadi wagawa fedha kama njugu kwa wananchi

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
2,785
Reaction score
821
Wakuu, mna habari kwamba mafisadi wameficha fedha kwenye m-pesa za watz wote? Sema tu wamezipiga pini hazichukuliki wala kuhamishika. Ni substancial amount, laki 8, 7, sita n.k. mpaka bank accounts updating itakapomalizika watazirudisha kwenye original a/c.
 
hee kumbe ndio zao kwa hadi benki wanalijua hilo nilikuwa sijui..

kwanini mnaotumia M pesa msiende kudai hela zenu wa kigoma kuzitoa mnaenda polisi kwa nini usipewe hela zako au sio..
 
Cra.p cra.p acheni consipirancy,kama wameweza kuweka kwenye m-pesa kwanin wasizitoe wakaifadhi kwenye malocker ndani kwao,acheni ujinga fanyeni kazi bwana.
 
kwanini mnaotumia M pesa msiende kudai hela zenu wa kigoma kuzitoa mnaenda polisi kwa nini usipewe hela zako au sio..

Polisi gani? Wale wa Said Mwema?
Kama ndiyo hao,bora ubaki na maumivu.
 
Wakuu, mna habari kwamba mafisadi wameficha fedha kwenye m-pesa za watz wote? Sema tu wamezipiga pini hazichukuliki wala kuhamishika. Ni substancial amount, laki 8, 7, sita n.k. mpaka bank accounts updating itakapomalizika watazirudisha kwenye original a/c.

na bank ya mafisadi ambayo pesa za epa kibao zilipitishwa huko ya CRDB ishaunganisha system zake na MPesa so fisadi anaweza cheza na MPESA na a'c kwa wakati mmoja...
 
Back
Top Bottom