Mafisadi walivyoni "beep'

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
kwa karibu wiki nzima sasa nimeshindwa kuingia kwenye mojawapo ya email zangu muhimu sana. Jina na Password vyote vinakataa na kila nikiomba kuretrieve password yangu inanipa correct one lakini hainuruhusu kuingia. Mwishoni jana usiku ikabidi niwaandikie wamiliki wa mtandao huo: Hili hapa ni jibu lao kwangu muda mfupi uliopita:


gademu mafisadi!
 

Mkuu naona wanakutafuta kwa njia halali na zisizo halali pia. uwe macho kwani vita bado ni ndefu....ningependa siku moja tukimaliza vita hii basi wote tuweze kusema
'nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza na imani nimeishinda!'

Kila la heri mkuu
 
nafikiri kilichofanyika ni kuoverflood my email with spam...!
 
samahani mkjj, inawezekana hata ule ujumbe wangu hukuupata? if yes pm ili nikutumie tena
 

Wameshakuingiza kwenye kundi la Mwananchi, Mwanahalisi etc katika kuhakikisha kwamba hayapatikani mtandaoni. Inabidi ujikinge barabara vinginevyo wataanza kucheza na KLH News ili nayo waiondowe hewani.
 
Bado wapo hapa wanaangalia sana ip address zetu. Sijui kama tuko salama kwa sasa.
 
Moto unaowashwa hapa kijijini sio mdogo wa kuuzima, watajaribu ila sidhani kama utazimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…