je kweli tanzania inaelekea wapi?mafisadi ndio wakuu wa nchi.serikali nayo inawalinda..sasa hivi madhamini wengi wanajitoa kwenye udhamini wa nchi kwa mambo mawili.kwanza fedha zitaibiwa au kuchukuliwa na maafisadi.pili kwa sasa wanaamini kuwa hawa mafisadi wana fedha nyingi kuliko wao..kwa sasa watanzania TUMEFULIA kuwachagua hawa mafisadi.maana si viongozi.tanzania ni kitega uchumi cha mafisadi.. JE NAULIZA.TUTAFIKA KWELI?