Mafisadi wasaka uchawi Nigeria

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Mafisadi wameamua kutafuta mgaga Nchini Nigeria ili kuwafanya mazezeta wale wanaopambana na ufisadi

Source: Sema usikike
 
Mafisadi wameamua kutafuta mgaga Nchini Nigeria ili kuwafanya mazezeta wale wanaopambana na ufisadi

Source: Sema usikike

mbona wameenda mbali sana, si wangeenda bwagamoyo tu...au wamuulize muungwana yale mapete alikuwa akivaa wakati wa uchaguzi aliyatoa wapi...anaweza kuwapa mawazo...
 
mbona wameenda mbali sana, si wangeenda bwagamoyo tu...au wamuulize muungwana yale mapete alikuwa akivaa wakati wa uchaguzi aliyatoa wapi...anaweza kuwapa mawazo...

Nadhani wameona wavuke mipaka kwani hapa Bagamoyo naona watagongana humo maana kikisha fika kipindi cha uchanguzi, basi mambo yanakuwa si mambo.
 
Duuuu shughuli kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…