I iya New Member Joined Feb 9, 2007 Posts 4 Reaction score 0 May 22, 2008 #1 Nasema mafisadi wameshinda kwa sababu wamefanya ufisadi mpaka Forum ya DINI imepotea mafisadi wakubwa nyie.
Nasema mafisadi wameshinda kwa sababu wamefanya ufisadi mpaka Forum ya DINI imepotea mafisadi wakubwa nyie.
A AmaniGK JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,163 Reaction score 400 May 22, 2008 #2 Tehe tehe ngoja nicheke mie Ngoja nikupe sapoti ili haka kathread kasije kufa bila hata ka reply kamoja T
Tehe tehe ngoja nicheke mie Ngoja nikupe sapoti ili haka kathread kasije kufa bila hata ka reply kamoja T
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 May 24, 2008 #3 Ni kweli huu ni kama ufisadi maana dini moja inaonekana kama haitaki kusemwa ikisemwa yanaitwa matusi. Sasa tunaisema ccm na viongozi wake na wao wataita matusi mwisho itafungwa hii forum. Hakuna demokrsia hapa.
Ni kweli huu ni kama ufisadi maana dini moja inaonekana kama haitaki kusemwa ikisemwa yanaitwa matusi. Sasa tunaisema ccm na viongozi wake na wao wataita matusi mwisho itafungwa hii forum. Hakuna demokrsia hapa.