Mafisango Vs Chuji, yupi unampa namba kwenye kikosi chako?

The late Patrick Mutesa Mafisango.
Kwa sababu kadhaa
1. Alifanya nishuhudie live uwanjani tukimpiga utopolo 5-0.
.
2. Patrick alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza kiungo akikaba kwa nguvu na kupandisha mashambulizi kwa ustadi wa hali ya juu. Thank God tumepata mrithi wake japo hajamfikia sana Triple C mwamba wa Lusaka.
 
Patrick Mutesa Mafisango,alikuwa ana vitu vingi na anapiga kazikazi kwenye dimba.
Kuna ile mechi ya Al Alhy Shandy vs Simba marudiano kule Sudan jamaa alipiga sana mpira mwingi na ndio ilikuwa mechi yake ya mwisho kimataifa.

Chuji anaweza ila kuna muda alikuwa anacheza kistaa sana.
 

Chama na Mafisango na wachezaji wenye kariba tofauti kabisa, hapo umetudanya live


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Nakubali kwa mawazo yako! Chuji kiburi kilimponza, ila mpira aliujua sana


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tuacheni ushabiki,,wote wanajua hadi kero ila Athuman Idd Chuji kwa uhalisia ni bora zaidii..
sawa na useme Steven Gerrard,,Frank Lampard na Paul Scholes nan bora,,kwa uhalisia Paul Scholes ni bora japo wote n wazuri

Soma tena uzi wangu vizuri, kuna sehemu nilisema nani alikuwa bora? Nimeuliza utampa nafasi nani kati ya hao wawili? Wote nawakubali sana katika ubora wao!

Mungu amlaze mahali pema peponi Mafisango


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Soma tena uzi wangu vizuri, kuna sehemu nilisema nani alikuwa bora? Nimeuliza utampa nafasi nani kati ya hao wawili? Wote nawakubali sana katika ubora wao!

Mungu amlaze mahali pema peponi Mafisango


Sent from my iPhone using Tapatalk
hayo maelezo yangu yanaeleweka sn kuwa kwangu Chuji nampa nafasi wote nawaheshimu...
 
Ulivyonichambulia Chama Triple C na ulivyonitajia Fundi Jonas Mkude kibali cha kutembea kifua mbele pasipo kuogopa Corona umekipata..
 
Mjadala huu utaathiriwa zaidi na mapenzi ya vilabu vyetu tunazoshabikia sizani kama atakuja hapa shabiki wa Yanga aampe sifa MAFISANGO..Wote nimepata kuwashuhudia na wote walikuwa bora haswa sema binadamu sie wanafiki sana tena mnooo hasa mtu akitangulia mbele ya haki... Japo sio vibaya sana kumpa mtu sifa ila ziwe sifa stahili, Athumani Idd Chuji kwangu nampa nafasi yaan hata movement yake tu inakukosha... Huyu nafikiri bangeh na hata namna ya uendeshaji wa klabu zetu ndio ulifanya tusipate radha halisi ya mpira...
 

Asante


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Shida ya Mwamba wa Lusaka ni kwenye kukaba, tofauti na Mafisango ambaye alifanya vyote ikiwamo kukaba kwa nguvu! R.I.P Mafisango mechi yake ya mwisho Simba ilifungwa kule Sudan, nakumbuka Kaseja alipiga vyongo penati yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…