mpm MziziMkavu huwa hakosi dawaJamani mwenzenu naumwa balaa na hivyo viwili yaani nimelala tu siku nzima.
Namafua makali sana na nasikia baridi balaa.
hilo la maji ndo penye tatizo hapo
Hayo maradhi ni laana zetu wanaJF CC Arusha kwa kuwa ulikuja hapa hutaka kutupa hi! Anyway pole sana binti amu. Dawa yake unachemsha maji nusu lita, yakiwa na vuguvugu unachanganya na kiroba cha konyagi then unakunywa, you'll keep Dr. away........!
ujue niko siriasi