Kuku wangu, wanakoroma banda zima sasa, (Layers-Bovan Brown)
Utagaji umeshuka sana, kuliko maelezo,
Nshatumia Erovet-20 (Enrofloxacin) Siku tano mfululizo, lakini bado hali ni tete, wanakoroma sana, pia hawatagi, kula pia hawali vizuri, sana kama mwanzo,
Mafua Mafua jamani, yanaturudisha nyuma sana,
Msaada tafadhali,