Wadau naomba ufumbuzi wa hili tatizo ,huwa napiga chafya mara kwa mara ikiambatana na macho kuwasha hii hutokea sio mara zote lakini ikitokea inakuwa kero sana ,nilienda hospitali wakanicheki macho yako safi ila wakaniambia wenda ni alegi ,wakanipa dawa lakini naona tatizo bado linanisibu ,najua hapa hamna kinachoharibika wapo wajuzi na wataalamu wa mambo kama haya naombeni msada wenu.
Nenda kapime allerg ujue ni vyakula gani au aina gani ya mafuta kuepuka mimi nilikuwa na tatizo la mafua wakanishauri maziwa nisinywe wala kutumia kitu chenye maziwa pamoja na nyanya sasaivi nipo vizuri nikigusa kimojawapo mafua yananishika