Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mafua yanasababishwa na simple virus, virus huyu ni simple kiasi cha kuweka kuuliwa na kinga ya mwili. Huambukiza kwa njia ya hewa, incubation period huchukua siku 3-7.
Hushambulia epithelial tissue zenye kuta za mucus goblets. Mucus husaidia kuchuja hewa inayoingia mwilini, ni sehemu ya immune system pia. Mafua yanatoka kwakuwa ngozi imeharibiwa. Siku ya kwanza yanawezekana kuambatana na homa, mafua yenye damu au mepesi yanatoka kama maji.
Dawa za kutimiza maumivu zinaweza kusaidia kutuliza homa, kunywa maji kurudisha maji unayopoteza kwenye mucus, kula matunda hasa yenye vitamin C kuimarisha immune system.
Baada ya siku mbili au tatu mwili unakuwa umeshashambulia simple virus.