Mafua ya kuku

Jogoo10

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
100
Reaction score
11
mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji naomba msada kwa anae jua dawa ya mafua ya kuku.
 
Mkuu kwanini usiende katika maduka ya dawa za mifugo . . Utapata dawa husika.
 
dawa ziko kulingana na hatua ya ugonjwa na umri wa kuku. Kama ni dalili tu hamna vifo na ni vifaranga huwa wanashauri uanzie fluban, kama kuna vifo au serious case ganadexin ni nzuri na tylosin endapo ni multiple infection. Nimezitaja nilizowahi tumia ila famasi watakuelekeza vizuri
 
Je ni dawa zipi za asili mtu anaweza tumia kutibu mafua ya kuku???
 
Changany malimao mawili, tangawiZI kubwa kiasi kwa maji lita tano. Wape hata daily haina shida.
 
Chasha poultry farm tupe ufafanuzi juu ya kipimo cha majani ya muembe.
 
Mkuu naomba msaada, Majani ya muembe kiasi gani (kilo ngapi?) yatachemshwa kwenye hizo lita sita za maji.
Majani utakayochemsha yajae viganja vyot viwili vya mikono...hicho ndo kipimo
 
Wayeyushie piriton 5 kwisha kazi subiri msimu mwingine wa ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…