Mafua is a viral disease, and those virus thrive well in cold conditions. Therefore when you subject their Niche to cold conditions, they become active, they gain life and hence the condition you are feeling. Wataalamu ongezeaWasalaam wakuu,
Hope mpo salama wote na bukheri wa afya zenu japo leo nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu mahusiano yaliyopo kati ya mafua na unywaji wa vitu vya baridi maana hapa nilipo nimegonga mvinyo wa baridi ghafla pua zimefunga lakini awali nilikuwa vizuri kabisa!
Je kuna tatizo zaidi ya mafua au kuna nini cha ziada!
Nawasilisha!