Mafua yanatoka na damu

Mimi k

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
18
Reaction score
3
Habar wanajf,ndugu yangu huwa anasumbuliwa sana na mafua hakila nyama au akipatwa na vumbi,sasa hv anaumwa mafua hakimeka yanatoka na damu na km vpande vya nyama vidogo,msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…