Mafua yanayosababisha maumivu ya mwili: Hali ipoje huko kwenu?

Mafua yanayosababisha maumivu ya mwili: Hali ipoje huko kwenu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je?

Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
 
Hiyo hali imerudi tena?

Maana mwezi wa 12 last year ilikuwa kama wimbi hivi, tukatulizwa na maneno ni "mafua ya msimu"...
 
Aisee haya mafua ya siku hizi kwani je?

Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
Labda ni amicron imekuja kivyake
 
Ni huko tu kwenu na corona yenu mbaki nayo wenyewe
 
Hiyo hali nilikua nayo jana, jioni nikachemsha tangawizi, hiliki, mdalasini na limao kisha nikanywa. Namshukuru Mungu nimeamka vizuri siku ya leo japo mafua yapo lakini haya nguvu kama jana.
 
Back
Top Bottom