ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na sisi huku Kisorya tunawasiliana na jamaa zetu waliopo DAR wanasema ni mafua makali sana. Poleni waathirikaAisee haya mafua ya siku hizi kwani je?leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka Sana na viungo kuuma.hali ipoje kwa huko kwenu?
Hio ni CoronaAisee haya mafua ya siku hizi kwani je?
Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
Mkoa ganiAisee haya mafua ya siku hizi kwani je?
Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
Labda ni amicron imekuja kivyakeAisee haya mafua ya siku hizi kwani je?
Leo nimeamka staff wenzangu wote na majirani zangu wanaumwa mafua sio mafua kuchoka sana na viungo kuuma. Hali ipoje kwa huko kwenu?
PWANI ya kusini.Mkoa gani