Pole sana kijana mimi ninahisi wewe una matatizo ya allergy je umeshakwenda kupima hiyo allergy? Kwa ushauri wangu kama utaweza kila siku jaribu kuchukuwa punje moja ya kitunguu Saumu kimenye kisha ukimeze kwa maji fanya hivyo kutwa mara 3 kwa muda wa siku 7 kisha njoo hapa unipe feedback. Ukiwa bado hujapona nitumie barua ya pepe huku nilipo kuna Dawa ya mafuwa inauzwa kwenye maduka ya dawa, dawa kiboko ya kutibu Maradhi ya Mafuwa unitumie Email nitakupa maelezo yake kamili Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comNdugu, habari?
Mimi ni kijana (22), tangu nimekua na akili na uwezo wa kujitambua nimekua nikisumbuliwa sana na mafua, yaani sijawahi kustay free from mafua. Je hili ni tatizo gan? Na linaweza likawa linasababishwa na nin? Ushauri wenu ni wa muhimu sana
N.B. hosp. Nimeshakwenda sana lakini bado sijapatiwa suluhisho
Mimi pia nina hili tatizo, hadi dawa situmii tena nimeacha tu! Kila siku nakuwa na mafua asubuhi had saa tano hiv ndio yanakata. Yan mchana unapoingia na mafua yanapotea.
Niliwahi kupatiwa dawa za allergy nazo hazikunisaidia. Napopata vumbi kidogo tu napata mafua makali sana. Ila kama hakuna vumbi nakuwa na mafua kiasi tu na ikifika mchana yanaisha.
Shukran MziziMkavu ntajaribu hiyo tiba ya kitunguu swaumu.
Kitunguu Saumu unakula siku ya kwanza itakutokea hali ilivyo kutokea baadae ukiendelea utakuwa kama kawaida matatizo yako yatakwisha tumia kama nilivyokueleza unaweza pia kutafuna sio mbaya kitunguu saumu.Wana jf, nashukuru wote mlionipa ushauri wakuondokana na mafua.
Doz nilianza kama nilivyoelekezwa lakini tofauti nikwamba mimi ninatafuna hivyo vitungu.
Je kuna tatizo hapo??
Pili, siku ya kwanza nilivyotumia hii dawa mambo yalikwenda vibaya sana, kwanza nilichoka sana, nilijisikia hovyo sana, kichefu chefu sio kichefu yaani hali ilikua tafran ad nikaogopa, maana nilisweat vibaya sana. Lakini gud thing baadae nikawa okey.
Tatizo linakuja kwamba mafua ndo yamezidi yaani chafya za kutosha kama usiku wa leo ndo hali imekua mbaya zaidi lakin sa hivi navoandika niko na mafua ya kawaida.
Je hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa au ni dawa haijanipenda??
Mimi pia nina hili tatizo, hadi dawa situmii tena nimeacha tu! Kila siku nakuwa na mafua asubuhi had saa tano hiv ndio yanakata. Yan mchana unapoingia na mafua yanapotea.
Niliwahi kupatiwa dawa za allergy nazo hazikunisaidia. Napopata vumbi kidogo tu napata mafua makali sana. Ila kama hakuna vumbi nakuwa na mafua kiasi tu na ikifika mchana yanaisha.
Shukran MziziMkavu ntajaribu hiyo tiba ya kitunguu swaumu.
Mkuu@mzizi mkavu...ninaleta feedbak...aise mafua bado yako palepale...yan ata sijui tena