Mafua yasiyopona

Mafua yasiyopona

Mwamgunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
247
Reaction score
48
Jamani doctors poleni na majukumu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, kwa mda wa mwezi mmoja nimekuwa nikisumbuliwa na mafua hasa nyakati za usiku ninapolala na asubuhi ninapoamka, nimejaribu kutumia dawa lakini hali ni ileile. Naomba kupata ushauri wa matibabu juu ya tatizo hili maana napata sana shida!
 
Mkuu Mwamgunda Jaribu moja kati ya dawa zangu hizi mbili hapo chini utumie kwa muda siku 3 au siku 7 kisha uje hapa utupe feedback.

Homa ya mafua (Influenza):
Kunywa juisi ya machungwa na juisi ya limau zilizochanganywa na tembe 7 za kitunguu Somu kunywa juisi hiyo kabla ya kulala. Vuta moshi wa kitunguu Somu.

Mafua:
Meza tembe za kitunguu Somu baada ya chakula pamoja na juisi ya kitunguu Somu iliyochanganywa na juisi ya limau pamoja na kuvuta moshi wa kitunguu Somu
 
Back
Top Bottom